Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

Sina mood

Senior Member
Nov 15, 2018
197
1,310
Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno

Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari

Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu wanaosoma unesi angalau kuliko uniform wanazovaa matabibu

Hii ni fedheha
 
Ila na wao c wanafunzi wanajifunza utabibu
 
Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno

Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari

Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu wanaosoma unesi angalau kuliko uniform wanazovaa matabibu

Hii ni fedheha
Uko sawa kabisa, lakin wakibuni vazi lingine litakua uniform pia. Nafikiri the best option ni kuwaondolea suala zima la.uniform kama walivo wanaosoma diploma zingine kama finance n.k.. after hapo wavae clinical coats wanavoenda wodini n.k
 
Sawaswa mkuu hata mie nimeliona dah hawa manesi wanavyoo vaa ni hatariii

Unakuta mtoto ni mdogo uniform aloivaa inambana hatari tupu

Idea alotoa mkuu hapo bora waveshe makoti itapendeza sana
 
Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno

Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari

Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu wanaosoma unesi angalau kuliko uniform wanazovaa matabibu

Hii ni fedheha
Piga shule kijana .... ukienda wodini si mnavaa makoti ... ukianza hivyo utamaliza chuo then ukianza kazi utaanza kuliona koti nalo kama sare hivyo utaacha pia kuvaa ...
 
Ujengewe wapi sanamu lako na liitwe "Kilalamishi"? Maana ni miaka na miaka sasa wataalamu wote wa hiyo taasisi unaowaona TZ wamepitia hizo hatua na hawakuwahi kulalamika.
 
Mbona wanavaa nguo kama za matabibu halisi au mambo yamebadilika?
 
Back
Top Bottom