Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa, wazazi walimpeleka mtoto wao kike kwenye shule ya bweni akasome huko ili asipate bugdha huko mtaani. Sasa siku ya siku mtoto huyo wa kike akiwa katika gesti alisikika akipiga kelele za furaha na mahaba ndindindi!
Ndipo kelele hizo zilipoanza kuwa kero...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo.
Taarifa za Jeshi hilo...
Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda uliopotezwa
Wadau wamedai kuwa Ratiba inaweza kuathiriwa zaidi iwapo Mahakama ya Juu itaamuru...
Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa.
Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia katika shule hizi za mikoa za michezo. Hapo wawekewe facilities zote, na walimu.
Kila mwaka shule...
habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi.
Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020.
Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea.
Waziri wa Elimu wa Kenya, George Magoha amewataka wazazi kupuuza taarifa walizopewa shuleni za kuwarejesha...
Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea.
Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati...
Habari wadau.
Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money?
Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha.
Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa...
Habari wadau.
Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.
Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.
Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi.
Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi.
Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili.
1. Hawana taaluma ya...
GARI ya Shule ya King David lililopata ajali jana eneo la Mjimwema, manispaa ya Mtwara Mikindani, mkoani Mtwara na kuua watu 13, lilikuwa pia likiwapa lifti wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mikindani.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shule ya Mikindani, Jacob Godfrey, aliyeeleza kuwa katika ajali...
Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect
Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa...
Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60)
Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums,
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini.
Na kipi ni kizuri zaidi kwani nataka nimpeleke mtoto kwenye hizo.
Mfano.
Nimena Iringa International...
JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOKUWA MWALIMU WA SHULE 1953
Ilikuwa wakati huu kwa mara ya pili Abdul Sykes alimshauri Nyerere kujiuzulu kufundisha ili ashughulike na kazi za TAA.
Wazo hili halikumvutia Nyerere kama vile ambavyo halikumvutia Chifu Kidaha Makwaia miaka minne iliyopita.
Lakini...
Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama.
Ukweli upoje?
Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...