shule

  1. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nancy nyalusi (mb) atoa msaada magodoro 50 kwa shule ya walemavu

    MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma: Wanafunzi 4 wazama mto Luiche wakivuka kwenda shule. Miili 2 yapatikana kati ya watoto 4 waliozama

    Watoto wanne wamepotea kwa kuzama katika mto Ruiche na wengine wawili kuokolewa baada ya mtumbwi uliokuwa umewabeba kupinduka na kuzama katika mto huo uliopo Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji. Watoto hao walikuwa wakielekea shule ya msingi Kagera, ambapo hulazimka kuvuka ng'ambo ya pili...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Maelekezo jinsi ya kufika shule ya Ahmes

    Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc. Mimi natokea Ukonga
  5. JamiiForums Tanzania Ziara tarafa ya Liganga, kata ya Lugarawa - kijiji cha Mdilidili - shule ya sekondari Lugarawa, Ludewa

    ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
  6. JamiiForums Tanzania Kagera, Ngara: Shule ya Keza yataka kufungwa kwa kukosa vyoo. Ilijengwa 1945

    Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia. Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro, ametoa Mil 3 kutengeneza vyoo vya dharura ili Shule isifungwe. Ruhoro amesema shule ni ya miaka mingi...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosafiri kuelekea Malawi, wapewa Namba ya simu ya dharura

    Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi. Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

    Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members Ni mwaka wa kupeana live bila chenga. === Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

    Naiweka hapa muone wenyewe... MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45 Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa Plate No: T 122 DGW, JINA: SHABANI NGAUGIA Ilipata ajali Eneo la Kisutu...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Eshter Malleko achangia madawati 40 Shule ya Wasichana Sekondari ya Ashira

    MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Shule nne zilizofanya Udanganyifu Mtihani kidato cha nne 2022 zichunguzwe na hatua zichukuliwe

    Na WyEST MWANZA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022. Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  18. JamiiForums Tanzania USHAURI: Somo la Kiingereza kwa shule za msingi lifutwe ama lianze kufundishwa tangu awali

    Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla. Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe tu, wanafunzi wajifunze mambo mengine ya muhimu. Atakayehitaji atajifunza kwa wakati wake hata...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mzazi yupo radhi akusomeshe mpaka PhD lakini asikupe mtaji wa kufanya biashara?

    Unakuta mzazi anakwambia, "Mimi nitakusomesha mpaka pale utakaposema basi" lakini kukupa mtaji heh utasubiri sana. Mzazi atajitutumua hata Kama ada ni kubwa atailipa hivyo hivyo. Unaweza mwambia mzee, hiyo pesa badala ya kunipeleka Feza Schools, unaonaje upatie nifungue biashara? Atagoma...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu katika hili: Nimebuni shule ya kwanza ya mtandao, haitaji kufika shuleni tena, soma na fanya mitihani mtandaoni

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…