Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia kupata ujuzi...