Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia kupata ujuzi...
Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha.
Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba...
Habari wadau.
Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake.
Kwa kitanda peke yake bei 130,000
Godoro bei 80,000
Meza bei 50,000
Namba ya simu 0754 003 715
Salaam wana jukwaa.
Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology).
Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali.
Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000
Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm
Ni surveyed pot
Fixed Price
Interested njoo PM
Au
+254746360628 only whatsapp
Ramani ipo kwenye attachment
Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv)
Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa.
Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa.
Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au
Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary.
Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na Mwanga. Nimechagua maeneo hayo nikiamini kuwa hayana baridi sana.
Shuke iwe ya mchanganyiko maana...
Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024.
Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana
Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa
Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga
Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi
Mnisamehe sio mwandishi mzuri
Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu wa shule mkali kweli kweli alikuwa Hana utani hata kidogo linapokuja suala la nidhamu na mambo...
Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi.
Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
Daah life la shule bhana so powa aisee.
Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo.
Nakumbuka siku hiyo tulikuwa asemble tunajiandaa kuimba wimbo wa Taifa sasa mimi mikono niliiweka mfukoni ko hadi...
Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi.
POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.