shule ya msingi

  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  5. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali yalalamikiwa, hali mbaya katika Shule ya Msingi Mbosho Wilayani Hai

    Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu. Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

    Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
  8. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Nyansa yasema "Vyoo vya Shule ya Msingi Lima kwa sasa vimekarabatiwa na kusafishwa vizuri kwa ajili ya Wanafunzi"

    Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeeleza kuwa usafi umefanyika katika vyoo vya Shule ya Msingi Lima baada ya malalamiko kuhusu uchafu na ubora wake: Taarifa kamili Kuhusu uchavu wa vyoo na Usafi usioridhisha katika Shule ya Msingi Lima iliyopo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  17. Mussisi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naomba ushauri ninahitaji kusoma open university course ya information kuanza na certificate

    Kozi ya ICT ndio nahitaji kuisoma kama kichwa kinavyojieleza...... naomba ushauri juu ya hilo katika maswali yafuatayo 1. Je inawezekana? 2. Naomba kujua ninaweza badilishiwa muundo wa elimu katika kada yangu ya elimu kwa kutumia cheti cha ICT baada ya kumaliza masomo? Ni hayo tu naombeni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na video wanafunzi wanaimba wimbo Tanzania nakupenda, hivi ni miaka mingapi nyuma imepita ulipoimba wimbo huu? vipi kuhusu sasa?

    Wakuu, Hii video imenikumbusha mbali sana enzi za kidumu na mfagio pembeni nimebeba jembe naenda shuleni, wakati wa kupanga mstarini tukianza kuimba utasikia sauti za juu sana tukiimba Mungu ibariki Afrika ila ifika Tanzania nakupenda watu wanachanganya mistari na kujikuta tunachapwa, na muda...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  20. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Walimu shule ya msingi Goba Mpakani hamtendi haki

    Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao. Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie suala hili kwa umakini. Kwanini wanafunzi...
Back
Top Bottom