shule ya msingi

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Nyansa yasema "Vyoo vya Shule ya Msingi Lima kwa sasa vimekarabatiwa na kusafishwa vizuri kwa ajili ya Wanafunzi"

    Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeeleza kuwa usafi umefanyika katika vyoo vya Shule ya Msingi Lima baada ya malalamiko kuhusu uchafu na ubora wake: Taarifa kamili Kuhusu uchavu wa vyoo na Usafi usioridhisha katika Shule ya Msingi Lima iliyopo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  9. Mussisi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naomba ushauri ninahitaji kusoma open university course ya information kuanza na certificate

    Kozi ya ICT ndio nahitaji kuisoma kama kichwa kinavyojieleza...... naomba ushauri juu ya hilo katika maswali yafuatayo 1. Je inawezekana? 2. Naomba kujua ninaweza badilishiwa muundo wa elimu katika kada yangu ya elimu kwa kutumia cheti cha ICT baada ya kumaliza masomo? Ni hayo tu naombeni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na video wanafunzi wanaimba wimbo Tanzania nakupenda, hivi ni miaka mingapi nyuma imepita ulipoimba wimbo huu? vipi kuhusu sasa?

    Wakuu, Hii video imenikumbusha mbali sana enzi za kidumu na mfagio pembeni nimebeba jembe naenda shuleni, wakati wa kupanga mstarini tukianza kuimba utasikia sauti za juu sana tukiimba Mungu ibariki Afrika ila ifika Tanzania nakupenda watu wanachanganya mistari na kujikuta tunachapwa, na muda...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  12. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Walimu shule ya msingi Goba Mpakani hamtendi haki

    Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao. Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie suala hili kwa umakini. Kwanini wanafunzi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Je kuna mkakati wa Kampuni ya Reopard Tours kumilikishwa shule ya msingi Kijenge? Nani yuko nyuma ya Project hii?

    Jirani na Offisi za kampuni ya Reopard tours kuna shule ya nsingi Kijenge, hii ni shule ya Umma, na unasemekana eneo ablo Leopard wamejenge jengi jipya lilikuwa eneo la shule na sijui nani aliwauzia. Sasa cha kushangaza ni kwamba ndani ya compaund8 ya shule ya msingi kijenge ndio imekuwa...
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalimu wa shule ya msingi, Furaha Nemela atia nia Ubunge, Masasi

    Furaha Nemela Mwalimu wa shule ya msingi Chakama, iliyopo wilayani Masasi, mkoani Mtwara, ametia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Masasi Mjini, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku malengo yakiwa kiwatumikia wananchi wa Jimbo hilo.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi (Dar) yaahirishwa mpaka Juni 19, 2025

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, mkazi wa Dar es salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka 11 imetajwa Mei 27, 2025 na kuahirishwa mpaka Juni 19, 2025. Kesi hiyo ambayo iliendelea siku hiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  19. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
Back
Top Bottom