shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

    Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika uzalishaji kama viwandani, kilimo, ufugaji, madini, huduma n.k Hapa kwetu vijana wengi wapo...
  2. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  3. Hyrax

    Magonjwa Nane (8) yanayoweza kukupata kwa asilimia 98% kama unajihusisha na shughuli za kubeti

    Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni: 1. Msongo wa Mawazo (Stress) na Wasiwasi (Anxiety) Kubeti kunaweza kusababisha wasiwasi mkubwa kuhusu...
  4. ELI COHEN

    Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

    Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani. Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
  5. B

    Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha Shughuli zake kwa Ukosefu wa fedha

    10 February 2025 Arusha, Tanzania EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa Na Wycliffe Nyamasege Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31 Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha shughuli zake kwa nusu ya kwanza ya 2025 kutokana na tatizo kubwa la fedha. Uamuzi huo uliofikiwa wakati...
  6. COARTEM

    Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  7. Stephano Mgendanyi

    Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama vya Siasa Bila Kujali Itikadi: Bashungwa

    POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa...
  8. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Bashungwa: Jeshi la Polisi litaendelea kusimamia usalama shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
  9. JOHNGERVAS

    PreGE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

    Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…. Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
  10. S

    Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  11. chiembe

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  12. kyagata

    Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

    Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
  13. ngara23

    Shughuli za makabila wawapo mjini

    Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar 1. Watu kutoka Tanga Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji, Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu Kwa wanawake wa Tanga Huwa wanasifika Kwa mahaba japo binafsi sijawahi kukutana na Binti wa Kitanga 2 Waha, watu...
  14. LoneJr

    Sababu ambazo hupelekea mtu kujihisi vizuri zaidi na mawazo na hisia zake mwenyewe na kupendelea shughuli za peke yake

    Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi: * Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi? * Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine? * Je, unaogopa kukataliwa? * Je, unajisikia peke yako au umetengwa? * Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
  15. D

    Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  16. Rorscharch

    Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  17. DaudiAiko

    Shughuli za maendeleo za serikali ya Rais Samia ni short-term na hazilengi kukuza uchumi wa nchi

    Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
  18. W

    LGE2024 Shughuli mbalimbali zasimama Arusha, zoezi la upigaji kura likiendelea

    Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura unaoendelea kote nchini. Sehemu mbalimbali za biashara ikiwemo maduka mengi kuchelewa kufunguliwa...
  19. Akilindogosana

    Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

    Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi? Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji? Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
  20. britanicca

    Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
Back
Top Bottom