shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump: 'Tutashambulia ikiwa kuna shughuli za nyuklia'; Araqchi: 'Tutatoa jibu ambalo hutaweza kujificha

    Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa." Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

    Kazi iendelee... Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Wakili Mwabukusi kuhusu CHADEMA kuzuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Kisiasa

    IAM DEEPLY CONCERNED. YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !? Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika historia ya nchi zinazofuata mfumo wa Common Law. Kwa kawaida, zuio (injunction) hutolewa kwa lengo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  6. evangelical

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Trump amsuta Khamenei, asema ataishambulia tena Iran ikiwa shughuli za nyuklia zitaanza tena

    Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa itatafuta silaha za nyuklia. Rais wa Marekani alizindua mkondo wa matusi kwa kiongozi mkuu wa Iran...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

    Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu. Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo. Tunakupenda sana.
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, baiskeli zinasaidiaje shughuli za siasa?

    Eti wanyonga Pedeli. Lengo la kuchukua Mzigo wa Baiskeli ni nini .?.
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kushiriki kila Shughuli za kidini

    Mimi ni mwislamu na ni mkimya sana,nasali na sijioneshi kabisa na mara nyingi navaa vizuri sana napoenda kusali,mara chache sana huwa navaa kanzu,nashiriki mikutano ya waislamu wenzangu lakini sio muongeaji sana,ila michango natoa. Sasa marehemu mama yangu ndio alikuwa muislamu lakini...
  13. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  18. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwenu viongozi wa dini: Kwanini mnaendelea kumkaribisha kwenye madhabahu takatifu na shughuli za kidini huku akiwadhihaki na kuwaita mashetani

    Mtaendelea kudhalilika hadi lini? Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu? Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

    Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa...
Back
Top Bottom