shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  2. SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  3. TTCL shirika linalohujumiwa kiutendaji na siasa

    Kati ya mashirika yaliyotakiwa kua makubwa ni TTCL lakini unaweza kwenda pale kutaka huduma ukapatiwa huduma baada ya wiki 3 ama mwezi 1. Shirika limekua likihujumiwa kisiaasa watendaji wanaowekwa pale wako Political Oriented zaidi kuliko Business Oriented. Tukumbuke ndio shirika lenye mtandao...
  4. Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

    SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama. Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
  5. Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  6. Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  7. S

    Msaada kwa mwenye ufahamu wa shirika la kimataifa la ICAP Global Health

    Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza. Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au...
  8. S

    Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
  9. Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  10. Shirika la Reli (TRC) lifumuliwe

    Shirika la Reli kwa kweli ambalo ni shirika mama kwenye sekta ya usafirishaji linatia aibu. Shirika lina MATITI kila kona, getini na ndani ya train lakini cha kushangaza uendeshaji wake hauridhishi hata kidogo. Viongozi wapo, wabunge wapo, mawaziri wapo hawayaoni haya? Wanafanyaga ziara za...
  11. Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

    Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
  12. A

    Shirika la UDA!

    Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limeishia wapi?
  13. Majengo ya Biashara ya shirika la nyumba Tanzania(NHC)

    Habari wa JF Poleni na majukumu Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man. Asante kwa kufahamishwa...
  14. Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) usaidizi wa dharura wa kifedha

    Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema. Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
  15. J

    Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
  16. JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  17. T

    Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  18. Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  19. Bodi za Bandari na Shirika la Meli zitaundwa lini?

    Tunaofuatilia utendaji wa mama kulinganisha na mtangulizi wake tulimsikia mama kwa mbwembwe huku akionesha ukali akitangaza kumtimua mwenyekiti wa bodi wa bandari na kuamuru bodi yake ivunjwe. Pia aliamuru kuvunjwa bodi ya shirika la meli linalomilikiwa na bandari. Uamuzi huo aliuchukua baada...
  20. TBC1 ni shirika bovu zaidi la utangazaji duniani

    Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.? Hawa waandishi wamekaa kuitetea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…