Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika
Post hii
"wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID promotion ni halali wala sio mkopo.Unalipa ada kulingana na mchango utakaochagua iwapo uko na hela...
Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
Habari zenu,
Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF.
Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
Wakuu,
Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani
Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers
Akizungumza kwenye...
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
Shirika la Utangazaji Nchini Comoro (ORTC) limeelezea utayari wake katika kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Taifa na la Zanzibar ili kuboresha mahusiano ya kihistoria na kuendeleza lugha ya Kiswahili.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ORTC, Hablani Assoumani alipomkaribisha Balozi...
Naomi Campbell azuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la Hisani kwa Matumizi mabaya ya Fedha
Mwanamitindo huyo amezuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la alilolianzisha la 'Fashion for Relief' kwa Miaka 5, baada ya kuonekana likiwa na uongozi mbovu na usimamizi wa kifedha usiofaa
Uchunguzi wa Miaka 3...
Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-.
Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania.
Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile
1. Nchi yenye furaha zaidi.
2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi.
3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk.
Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani?
Hii record huenda...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
afya
afya tanzania
bila
bima
bima ya afya
bora
gani
gharama
gharama nafuu
huduma
huduma bora
jambo
kuambiwa
kufanya
maisha
nafuu
shirika
tanzania
tujitafakari
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
Salam wana jukwaa.
Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya kuongeza wigo wa usafiri wa anga baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoro.
Katika mazungumzo hayo...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA)
Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024
Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.