shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya huwezi kupiga Bao la Mimba, andaa Shilingi Milioni 14 zako Muhimbili Hospitali wakupigie Bao lao upate Mtoto

    Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali za Umma Nchini ambacho kimegharimu Bilioni 1.72 Amesema katika kipindi Cha...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki blogu inayoniingizia wastan laki 4 kila mwezi, sio pesa ya haraka bali ni uvumilivu na consistency

    Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Niliuziwa pasi feki ya phillips kwa shilingi elfu 45, epuka haya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Barrick yachangia shilingi trilioni 3.6 pato la Serikali kwa kipindi cha miaka 4

    Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Mathayo David akifuatilia taarifa katika mkutano huo Kampuni ya Uchimbaji...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimboni Manonga, Shule ya Sekondari Tambalale Yakamilika kwa Shilingi Milioni 800

    PONGEZI KWA MHE. SEIF KHAMIS GULAMALI, MBUNGE WA JIMBO LA MANONGA KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI YA TAMBALALE MILIONI 800 Pongezi kwa Mhe. Seif Khamis Gulamali, Mbunge wa Jimbo la Manonga, kwa juhudi zake katika utekelezaji wa Mradi wa Shule ya Sekondari ya Tambalale, ambao...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tuambie kiwango chako cha kukopeshwa na huduma ya songesha ni shilingi ngapi?

    Leo tuone kiwango chako cha kukopeshwa na songesha ni sh ngapi?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya marehemu Sheikh Muhammad Idd. Mufti Abubakar Zuber amekabidhi Milioni 20 kwa Mwakilishi wa familia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

    Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo. Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the name of school fees. ( Nilikuwaga fala Mie.. Nizomeeni Kwa ufala nilio kuwaga nao) Wewe...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri

    Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu. Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  16. chazi piere

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

    Naam. Kiingilio 500,000,000 tu. Watu unaokaa nao, utafanana nao
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 45.6 kutumika kukamilisha Miradi ya Dharura Mkoani Kagera

    Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5). Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
  19. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki wananchi wa vijijini wakatumia nishati safi ya kupikia kwa gharama ya shilingi sifuri?

    Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika...
Back
Top Bottom