sheria

  1. JamiiForums Tanzania Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

    Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa. Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  3. JamiiForums Tanzania Vitendo vinavyokatazwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya 2010

    Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010; Kifungu cha 24, kifungu kidogo cha 2 kinaeleza kuwa; Mgombea yeyote, awe yeye mwenyewe au wakala wake au chama chake, akifanya kitendo ambacho kimekatazwa kama ilivyoelezwa sehemu hii, atakuwa amekosa sifa ya kushiriki kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria kandamizi sana

    Kuna clip moja inasambaa instagram ikimwonyesha kijana mmoja mwanafunzi wa CBE akisindikizwa na askari kanzu kupanda kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwa na blog bila leseni kutoka TCRA. Hizi sheria za kijinga zinapatikana Tanzania tu. Hivi CCM mbona inatulazimisha tuishi...
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki na ubinafsi wa Watunga sheria wetu Zanzibar, Wawakilishi kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

    Wafanyakazi wa sekta binafsi upande wa Zanzibar, mioyo yetu inatuuma sana, kwa sababu ya Mfuko wa hifadhi ya zanzibar ZSSF, Mfuko huu namna ambavyo Wawakilishi wa wananchi na watunga sheria wetu walipitisha sheria kandamizi na za kiuonevu, mfuko hauna fao la kujitoa kwa mwanachama wa sekta...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya Sheria zinazotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020

    ORODHA YA SHERIA ZINAZOTUMIKA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2020. SEHEMU 1: UTANGULI. Kuna msurululu mrefu wa Sheria za ndani (municipal laws) zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Sheria za ndani zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu zimegawanyika katika aina kuu nne (4) zifuatazo; (1)...
  7. JamiiForums Tanzania NEC na ZEC ni Tume Huru kwa mujibu wa Sheria, nongwa inatoka wapi?

    NEC NA ZEC NI TUME HURU KWA MUJIBU WA SHERIA, NONGWA INATOKA WAPI? Deogratias Mutungi Uchaguzi wa kisiasa lazima uwe huru, na ni mtamu unapokuwa huru, maana unapokuwa huru unogesha demokrasia na mifumo yake, raha ya uchaguzi kisiasa ni kuwa huru, demokrasia ustawi na kunoga kisiasa endapo tu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

    Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi. Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

    Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  11. JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuwahasi wabakaji na walawiti wa watoto

    Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuhasi wabakaji wa watoto wa chini ya miaka 14 Kumekuwa na maandamano na ghadhabu nchini Nigeria miezi ya hivi karibuni kutokana na ongezeko la vitendo vya ubakaji Wabunge katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria wamepitisha adhabu ya kuwahasi wale wataokutwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uchaguzi ibadilishwe kuruhusu Wagombea kwenda Mahakamani kupinga maamuzi ya NEC na zaidi mchakato wa kupatikana Wagombea uanze mwaka mmoja

    Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya kufuta sheria zinazonyima watu dhamana Ni turufu kwa CHADEMA

    Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM ikitaka ikufilisi inakupeleka mahakaman kwa makosa yakusadikika na hatma yake unaozea jela bila kesi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu jambo hili kuhusu wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazotumiiza naomba kila unapoenda na kila katika mkutano wako uliongelee

    Naomba nikiri nimefurahi sana kusikia umeeleza ni namna gani wabunge wa CCM wamepitisha sheria zinazotuumiza wananchi. Kwanini nimefurahi sana? Sababu kubwa ni hii,baadhi ya watanzania wenzetu wanaanza kusahau tabia za wabunge wa CCM na kuwa tayari kuwachagua kisa ni matajiri,watu maarufu,wana...
  18. JamiiForums Tanzania Shangazi: Tume ina majaji 4 lakini wote kama hawajui sheria na hukumu ipo kuwa Maandamano huwa hayahitaji kibali

    NEC ina makamishna 4 majaji na nina hakika wanaelewa kuwa Mahakama ya Rufaani ilitoa HUKUMU kwamba wananchi hawahitaji KIBALI kutoka popote ili kuandamana PEACEFULLY. Polisi ijuilishwe tu lakini kazi yake si kutoa KIBALI! #FactCheck TUME isipate #ElectionFever https://t.co/mAScpweFMb
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni Sheria ipi inamlinda mtumishi aliyehamishwa kutokwenda kituoni kwake hadi alipwe?

    Kumekuwa na Utaratibu wa watumishi wa Umma kuhamishwa bila kulipwa stahili zao. Hivi hakuna Sheria inayomlinda Mtumishi kama huyu? Nakumbuka Rais aliwahi kutamka jukwaani kuwa Mtumishi asihame hadi alipwe. Je, hii ipo kisheria?
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…