sheria

  1. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
  3. JamiiForums Tanzania Zijue aina ya sheria na mchanganuo wake

    Aina za Sheria na Kazi Zake 1. Sheria ya Jinai (Criminal Law) Inahusika na makosa ya uhalifu. Kuwashtaki na kuwatetea wahalifu. Uhalifu wa mtandaoni na makosa ya kifedha. Uchunguzi wa ufisadi na makosa ya ofisini. Maamuzi ya vifungo na kukata rufaa. 2. Sheria ya Madai (Civil Law) Inahusika na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania uliwahi kukwaruzwa au kuharibiwa gari na dereva wa bajaji au bodaboda anaeendesha kwa pupa, fujo, uzembe, kutotii sheria, n.k. ?

    Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani. Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania SHERIA ZA KOREA YA KASKAZINI ZA KUSHANGAZA ZAIDI

    Kabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo 1. Kama mtu atafanya uhalifu, atafungwa jela yeye, watoto wake na wajukuu zake wote 2. Hutakiwi hata kutafakari kuhusu uhalifu, yaani ukikamatwa hata ukitafakari au kujiuliza...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wanalipwa kama vibarua??? Walipwe perdiem sheria zinadilishwe.

    Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe??? Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
  8. JamiiForums Tanzania Tuendee kuishi tu, tusiulilie wembe

  9. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  10. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuiwa watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria

    Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuia watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa inahitaji maboresho

    Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia...... 1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mafwele ni nani hasa? Mkono wa sheria unamwogopa?

    Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza 1...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…