sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, kulingana Sheria zetu za Ardhi watanzania tuna OWN au tuna POSSESS Ardhi kama DP WORLD?

    Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili 1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group . 2.Posses land -control or occupancy of land without regard to ownership . Kwa katiba yetu Kama nimeielewa...
  3. JamiiForums Tanzania Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanahabari tambueni kwamba sheria ya uwekezaji wowote wa maliasili kujadiliwa bungeni ni kwa mujibu wa sheria ya 2017, si fadhila za viongozi

    Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo. Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  6. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Misingi, Changamoto na Utekelezaji Wake Nchini Tanzania

    UTAWALA WA SHERIA: MISINGI, CHANGAMOTO NA UTEKELEZAJI WAKE NCHINI TANZANIA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala wa sheria ni dhana muhimu katika jamii yoyote inayotaka kuendelea na kuwa na amani. Utawala wa sheria unamaanisha kuwa kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria, kanuni na...
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
  11. JamiiForums Tanzania Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

    Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Shairi: Ustawi Wa Taifa Kupitia Utawala Wa Sheria Na Usalama Wa Nchi

    Shairi: USTAWI WA TAIFA KUPITIA UTAWALA WA SHERIA NA USALAMA WA NCHI Imeandikwa na: MwlRCT Shairi hili linazungumzia jinsi utawala wa sheria na usalama wa nchi vinavyochangia ustawi wa taifa. Lina kusudi la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu mambo haya. Linatumia dhana za utawala wa sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Silaha Dhidi ya Ufisadi

    UTAWALA WA SHERIA: SILAHA DHIDI YA UFISADI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ufisadi ni mojawapo ya changamoto kuu zinazokumba mataifa mengi ulimwenguni, hususan yale yanayoendelea. Ufisadi unaharibu uchumi, unazuia maendeleo, unatishia usalama na unakiuka haki za binadamu. Kupambana na...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwaleta DP World turekebishe kwanza sheria za kodi

    Toka hili sakata la Bandari liibuke nilikaa kimya kwanza nitafute facts za kutosha ndo nitoe maoni yangu. Wengi wenu mmekuwa mkinisumbua kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hili lakini sikujibu chochote hadi leo nilipoona ni muda sahihi. Niwakumbushe tu kuwa baadhi ya maoni yangu huwa yanakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Michezo na utawala bora

    Mabadiliko katika Nyanja ya Michezo na Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji. Utangulizi: Michezo imekuwa na athari kubwa katika jamii kwa miongo kadhaa sasa, na mabadiliko katika nyanja ya michezo yamekuwa na nguvu kubwa ya kuleta utawala bora na uwajibikaji. Makala hii itazingatia jinsi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  19. JamiiForums Tanzania Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

    Siku mbili nyuma nimeshuhudia tukio ambalo serikali imelikalia kimya ila lingeweza kuleta madhara makubwa sana kwa Jamii. kondoo zaidi ya mia 4 zimechinjwa bila kufuata taratibu za kiafya na kisha kugawiwa kwa raia! Je, hii mifugo ilikuwa salama kiafya haikua na magonjwa yoyote? serikali...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…