sheria

  1. JamiiForums Tanzania TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu!

    Wadau na wapenzi wa mpira! Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa watu ndiyo wanarudishaa maendeleo ya soka letu! Japo najua ni vigumu sana kuwakamata ila mkiwa wakali...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Urekebu wa Sheria wagharimu Tsh 10 bilioni za walipa kodi. Kwa maneno ya Rais naona hakuna tatizo somewhere

    Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”. “Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

    Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025 https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Honorable minister notice of violation of sheria namba 12/1967 ya baraza la michezo la taifa (BMT)

    Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council (NSC) (The said letter is attached overleaf). Honorable Minister, on behalf of our client, we...
  5. JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: HALIMA Mdee amekiri CHADEMA wako sahihi kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Sheria na Katiba

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ruto kama Kikwete akataa kusaini Sheria ya Viongozi wa Umma na Familia zao kuruhusiwa kufanya biashara na serikali, muswada warudi bungeni

    Kuna wakati Rais mstaafu Mzee Kikwete aligoma kusaini muswada wa sheria ya kinyonyaji uliosainiwa na wabunge wore kasoro Dr Slaa peke yake Huko Kenya Rais Ruto amelataa kusaini muswada wa sheria ya Conflict of Interest na kuurejesha bungeni Ruto anaiga sana Siasa za Tanzania Mlale unono 😁
  8. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
  9. JamiiForums Tanzania Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Jukumu la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio kutunga Sheria

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima mara baada ya kukamilika kwa zoezi la Vyama vya Siasa kutia saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025 alisema, kati ya Vyama 19 vilivosajiliwa ni Chama kimoja tu cha Siasa ambacho hakikuitikia wito wa INEC...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za sheria za Afrika na dunia zimeijia juu Tanzania kuhusu Lissu!

    Taasisi za 9 Wanasheria zimeijia juu Serikali ya Tanzania kwa kumbambika kesi ya uwongo ya uhaini Mhe. Lissu na kumtaka Rais Samia kuirudia ahadi yake aliyoitoa alipoapishwa ya kuheshimu demokrasia na kumtaka amuachie huru Lissu bila masharti yeyote. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sheria za Habari Zanzibar bado kizungumkuti

    Katika Sheria ya Usajili wa Uwakala wa Habari, Magazeti na Vitabu Namba 5 ya Mwaka 1988 iliyofanyiwa marekebisho na Sheria no 8 ya Mwaka 1997 yapo maneno kadhaa yaliyotumika ambayo yanaonekana kuwa na mapungufu na ambayo yanakwaza uhuru wa Vyombo vya Habari. Matumizi hayo ya maneno...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue Sheria Ya Makosa Ya Uhaini Na Adhabu Zake

    Katika kulinda mamlaka na hadhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuelewa na kuheshimu sheria zinazolenga kuzuia matendo ya usaliti na uhaini dhidi ya serikali. Sheria ya Uhaini Na. 2 ya mwaka 1970 imeweka bayana aina ya vitendo vinavyotafsiriwa kama uhaini na adhabu...
  16. JamiiForums Tanzania Je sheria inaruhusu uwekezaji wa kujenga Mortuary binafsi

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili.. Nichukue nafasi hii kuwataka radhi wale ambao watachukizwa na uzi huu lengo langu ni kupata ushauri juu ya wazo langu la biashara. Nianze kama ifuatavyo: Mimi ni mfanya biashara wa huduma ya majeneza na vifaa vingine vya mazishi kiukweli kuna kipindi...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

  18. M

    JamiiForums Tanzania RPC Simiyu awaonya Sungusungu kujichukulia sheria mkononi

    Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu,Edith Swebe(ACP)amewaonya walinzi shirikishi Sungusungu mkoani humo kuacha mara moja tabia ya kujichukulia sheria mkononi. Onyo hilo amelitoa wilayani Itilima na kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu, alipokuwa akizungumza na vikundi vya ulinzi shirikishi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa

    Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa https://www.nps.go.tz/uploads/documents/sw-1708320157-KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (1).pdf ...
  20. JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…