sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Sheria ni kinga ya Haki za Binadamu, si chombo vya kutesa Wananchi

    Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  3. JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

    Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine. Anaamua kutokwenda. 1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje? 2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
  5. JamiiForums Tanzania Fursa kwa Wajasiliamali Wenye Digrii za Sheria (LLB) na Uongozi wa Biashara (BCom) Kwenye Michezo

    Kutokana na Bodi ya Ligi kuu kuvuruga ligi hii ya mwaka huu, nadhani imefikia wakati kuwe na makampuni binafsi ya kuendesha na kusimamia mashindano mbalimbali yaliyo chini ya TFF. Makampuni hayo yawe yanateuliwa kwa ushindani kupitia tender system mwanzoni mwa msimu. Hao wawe wanasimamia...
  6. JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  7. JamiiForums Tanzania Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa

    Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa. Huwezi kuwa na akili timamu kwa kupiga mtu au kumzuia asiingie mahakamani bila sababu za msingi tukasema wewe afande unaakili, hatuwezi kukupongeza...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge akijivua wadhifa wake kabla ya muhula wake kuisha atakuwa na sifa za kupata stahiki zake?

    Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa, Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ofisi wanabebana kikabila mpaka ofisi inajaa watu wa kabila moja, Kwanini hakuna sheria za kuzuia mirundikano ya watu kikabila ?

    Yaani mpaka ofisini unakosa raha, unajikuta ni outsider (mtu wa nje), mpaka inafikia kipindi ofisini wanaongea kilugha chao, na hujui wanachozungumza. Kwenye ajira wakijua kuna mtu wao watambeba kwa namna yeyote ile labda ashindwe yeye tu lakini wakijua ni mtu wa kabila lingine watamuwekea...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Rais Samia umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria na haki za binadamu

    "Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi" "Kwa nafasi yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

    UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu 1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa, 2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa 3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha, 4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
  12. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  13. JamiiForums Tanzania Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
  14. JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  15. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  18. JamiiForums Tanzania TFF/bodi ya ligi mjifunze CAF kiongozi ujue kuheshimu kanuni na sheria mnazotunga..Muwe na msimamo.. Msitie aibu tena viva CAF

    NIANZE kushukuru Mungu Allah swbaahannah watalla Mjaza Neema Ndogondogo na KUBWA Ndefu na fupi Nene na nyembambaaaaa NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu

    Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
  20. JamiiForums Tanzania Sheria gani inaweza tumika kumhukumu mke wa huyu jamaa?

    https://www.tiktok.com/@samonsojuri68/video/7504665112372956447
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…