Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
Malalamiko ya baadhi ya wananchi na taasisi kuhusu mali zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wakati wa kukamatwa yameibua mjadala kuhusu mipaka ya mamlaka ya polisi katika kushikilia mali zinazodaiwa kuwa sehemu ya ushahidi wa uchunguzi wa makosa ya jinai.
Malalamiko ya hivi karibuni yametolewa...
Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
Wakili anatoka kwenye chumba cha mahakama ambako kesi fulani bado inaendelea kusikilizwa. Baada ya kesi kuahirishwa wakili huyo msomi anatoka nje kidogo tu ya jengo la mahakama na kukusanya vyombo vya habari vya ndani na nje pamoja na kundi la wananchi ambao pia walikuwepo ndani ya ukumbi wa...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46
Never Outshine the Master
Pose as a Friend, Work as a Spy
Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous
Master the Art of Timing
Think as You Like, But Behave Like Others
Never Appear Too Perfect
Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa.
Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa?
Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii
Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
Hapo ukiforce bila ridhaa yake ni kosa la jinai ila huyu mtu tumekubaliana kabisa Kuwa akija tunamalizana ghafla kabadilisha maamuzi.
Huu si unyanyasaji wa hisia mi nishakula vinavyohitajika kuliwa afu mtu anabania game huu ni ukatili
Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea.
Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani.
Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
baada
hapo
huru
kesi
kufunguliwa
kukamatwa
kwa mujibu wa sheria
lisu
mashtaka
mpya
mujibu wa sheria
napendekeza
nyongeza
sheria
tena
tundu
tundu lisu
upya
ushahidi
Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄
Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani
Si...
Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule.
Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako...
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi.
Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...