MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,615
- 42,592
Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule.
Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako juu ya sheria na hawagusiki. Hawa jamaa hawaharibu uchumi tu.. wanaharibu akili za vijana pia. Kama serikali iliweza kumtimua tapeli kiboko ya wachawi inaweza pia kuifutilia mbali hii kampuni ya kihuni ili kuokoa vijana.