sheria mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Sheria mpya za Icasa zinalenga kuzuia muda wa matumizi ya data ya simu za watumiaji kuisha (expire)

    Hakuna kifurushi cha data kupotea tena! ICASA sasa inawataka waendeshaji wa kampuni za simu za mkononi ambazo huuza vifurushi vya kulipia kabla (prepaid) ambavyo havijatumika visipotee bure. Muda wa kuisha kwa data ya simu umekuwa mada yenye utata kwa muda mrefu, hasa kwa watumiaji wa kulipia...
  2. Fbn

    Saudia Arabia imeruhusu na kuanza kupitisha sheria mpya ya matumizi ya pombe ili kujiongezea kipato

    Saudi Arabia imekuwa na sheria kali kuhusu pombe na bidhaa za pombe, ambapo zinakatazwa kabisa katika nchi hiyo, ingawa pombe zimekuwa zikitumika kwa siri kwa baadhi ya wageni. Hatua hii ni sehemu ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi yanayoendelea katika Saudi Arabia, ambapo serikali inajaribu...
  3. Msanii

    Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

    Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe. Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa. Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho...
  4. R

    Mapendekezo sheria mpya marufuku unywaji pombe chini ya miaka 21

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera mpya ya kitaifa inayolenga kudhibiti matumizi ya vilevi miongoni mwa vijana. Hatua hii ni mojawapo ya...
  5. Daraja2

    Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  6. Dalton elijah

    Niger: Abdourahamane Tchiani aapishwa kuwa Rais wa mpito chini ya sheria mpya

    Kiongozi wa kijeshi wa Niger, Abdourahamane Tchiani, Jumatano ameapishwa kama rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano chini ya katiba mpya ambayo inachukua nafasi ya katiba ya taifa hilo la Afrika Magharibi. Hatua hiyo ilipinga vilivyo majaribio ya kambi ya kikanda...
  7. Mowwo

    Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  8. Clayton Paul

    Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

    Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA. Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
  9. kiss daniel

    Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  10. M

    PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  11. M

    PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  12. Bams

    Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  13. Tabutupu

    Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  14. Hismastersvoice

    Huenda si tetesi tena, tutarajie sheria mpya za uchaguzi zenye lengo la kumlinda mtu wao

    Tutarajie kutangaziwa sheria mpya za uchaguzi, sheria hizo zitatumika wakati wa kampeni ili kuwalinda wasioweza kupambana jukwaani. Kulikoni uchaguzi ujao utungiwe sheria mpya, ni nani anatakiwa kulindwa wakati wote ni wanasiasa waliobobea na ni wagombea wa nafasi ya juu kabisa ambapo sisi...
  15. M

    Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  16. Yoda

    Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  17. M

    Seneti ya UDSM mliliangalia jambo hili wakati wa kupitisha sheria mpya?

    Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo hadi malipo ya semester 1 kwa mwanafunzi. Andiko hilo limesainiwa na Boneventure Rutinwa. JE, HIZI...
  18. Nehemia Kilave

    Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  19. The Sheriff

    Uganda: Sheria mpya kuwataka Walimu kuwa na leseni ya kufundisha, na walimu wa ngazi zote kuwa na shahada ya kwanza kama sifa ya chini

    Wizara ya Elimu nchini Uganda imewasilisha Muswada wa Taifa wa Walimu wa 2024 Bungeni, ambapo Waziri wa Nchi wa Elimu ya Juu, John Chrysostom Muyingo, ameeleza kuwa muswada huo unalenga kuboresha viwango vya ufundishaji nchini humo. Kulingana na Wizara ya Elimu na Michezo, sheria hiyo...
  20. R

    Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
Back
Top Bottom