shemeji

Buna shimeji (Hypsizygus tessellatus) is an edible mushroom native to East Asia. It is cultivated locally in temperate climates in Europe, North America and Australia and sold fresh in super markets. In nature, shimeji are gilled mushrooms that grow on wood. Most often the mushroom is found on beech trees, hence the common name, beech mushroom. They are often small and thin in appearance and popular in many nations across the world.Two variations are known:

Buna-shimeji (ja:ブナシメジ), Hypsizigus tessellatus, (Brown Beech Mushroom , Beech Mushroom, BeechBrown Clamshell Mushroom);
Bunapi-shimeji (ja:ブナピー), (White Beech Mushroom, White Clamshell Mushroom); bunapi was selected from buna-shimeji and registered by Hokto Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada kupatana na mume wake mahusiano na shemeji yangu yanaanza kuyumba, amesahau tulikotoka

    Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia. Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  4. Bull Striker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Wakuu naomba ushauri. Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja. Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika...
  5. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

    Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki. Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa za kuishi na hawa watu na namna ya kukabiliana nazo.
  6. ABDalali

    JamiiForums Tanzania SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
  7. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

    Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake. Shemeji mtu ni kaka wa marehemu hivo alitaka amrithi huyo mjane ili mali zisiende mbali na nyumbani. Sasa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  9. Mrsme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

    Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia. Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha sana, sidhani kama kuna mtu atakua kakutana nayo mahali, anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Shemeji aliyekuwa akitaka niishi na mtoto wake kwangu kaondoka bila kuaga kaenda kutafuta maisha mkoa mwingine kaacha mtoto kwa mama yake

    Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki... Sasa rasm kaamua kutokomea kusikojulikana kwenda kutafuta maisha mkoa mwingine n kuacha mtoto wake kwa mama...
  12. knows

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu akiwa na rafiki zake anasema mimba aliyonayo ni ya mwanaume mwingine japo sisi anatuambia ya ndugu yetu

    Habari wakuu. Naimani wote wazima God anaendela kutupigania achana niende kwenye point. Nina ndugu yangu kabsa ambae kimiaka tupo sawa sasa kunachangamoto ambayo imempata nduguyangu baada ya wote tulipo maliza chuo changamoto ambayo ni ndogo ila ninzito. Mwenzangu alikuwa na mahusiano na demu...
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  14. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

    Ndinkafu! Baada ya kuona Joka langu likiwa limetuna kwenye kaptura kaanza mazoea. Wiki ya pasaka tulitembelewa na Dada wa mke wangu hapa nyumbani, juzi Jumanne Asubuhi wakati natoka niende kuoga kusudi niende kazini, Shemeji alikuwa akitoka chooni nami nikienda bafuni, vyote viko ndani Kwa...
  15. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari. Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na...
  16. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

    Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe. Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho. Haachi kunitumia picha na clip za warusi. Naona kama atawafundisha...
  17. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini huwa mnapambana kumtawala mwanaume kisha kumtenganisha na ndugu zake na rafiki zake?

    Nipo mkoa Fulani kanda ya ziwa kikazi nilihamishiwa huku kwa bahati nzuri huku nilimkuta ndugu yangu mmoja tunaelewana Sana maana tumekua wote enzi hizo. Sa kwa vile mi bado mgeni kidogo na ni wale introvert najikuta nipo bored Sana na huu mji mida ya jioni huwa napenda kumcheck ndugu yangu na...
  18. The MaskmaN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

    Habari za humu JF KAZI IENDELEE! Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa. Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto...
  19. Song of Solomon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
  20. DeepPond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
Back
Top Bottom