shemeji

Buna shimeji (Hypsizygus tessellatus) is an edible mushroom native to East Asia. It is cultivated locally in temperate climates in Europe, North America and Australia and sold fresh in super markets. In nature, shimeji are gilled mushrooms that grow on wood. Most often the mushroom is found on beech trees, hence the common name, beech mushroom. They are often small and thin in appearance and popular in many nations across the world.Two variations are known:

Buna-shimeji (ja:ブナシメジ), Hypsizigus tessellatus, (Brown Beech Mushroom , Beech Mushroom, BeechBrown Clamshell Mushroom);
Bunapi-shimeji (ja:ブナピー), (White Beech Mushroom, White Clamshell Mushroom); bunapi was selected from buna-shimeji and registered by Hokto Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunguja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

    Wakuu kwema Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio). Sababu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

    Wakuu tujadiliane hili kidogo Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
  4. Naju23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji ameendelea king'ang'ania

    Wakati naleta hii ishu nilishambuliwa lakini jamaa ndio ashafika kwa dada. Dadaak3 humuelezi kitu japo shemeji anawoga mkubwa kwangu. Anajua namuacha tu.. .lkn ni mtu wa kwenda kuanzisha maisha yake. Miaka 30 sio wa kilealea naongea na wife jambo hili anapptezea. Tatizo lake hana mvumilivu ktk...
  5. AKILI KIJIKO

    JamiiForums Tanzania Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

    Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Shemeji tumesikia ombi lako kwa sasa tuvumilie kidogo baki hukohuko....

    KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO. Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako tumechukia kuzuiliwa kuvimba nyumbani kwetu katika nchi yetu( ukweni kwako) ... Pamoja na hayo huku kwetu...
  7. 6 Pack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

    1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki. 2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yetu anataka kumuendea kwa mganga kaka yetu

    Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo nimechungulia dirishani tu Ni kaka yetu japo si wa damu, na sisi ni kama wadogo zake japo kutokea...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji anaevaa Bukta ya kuchezea Mpira na umaskini

  12. D

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni shemeji mtalajiwa 😂

    Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move . Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation . We wait . Will he stay ?!? We don’t know ? Ni mwendo ya plan b 😂 .
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri machozi ya shemeji yamenikosesha amani

    Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

    Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips. ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA...
  16. Ricky Blair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua shemeji yako (mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na rafiki yako wa kike utafanyaje?

    Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua. Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫 Nisaidie wana JF🤐
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kumuaminisha shemeji yenu kuwa sina mchepuko kabisa

    Unajua kama kuna wajinga (sio tusi bali ni kutokuwa na ufahamu) wanaamini waume zao hawana kabisa mchepuko? Wapo, ndio hawa mnaowasikia kanywa sumu baada ya kujua ukweli. Nakwambia hivi wewe mdada, hakuna kitu kama hicho, Labda mume wako awe na matatizo ya kiafya. Hata kama hana hela atakula...
  19. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu anaficha pochi kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

    Wakuu napitia kipindi kigumu sana. Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu. Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi. Nahisi mwanzo wa jambo la hatari. Kwanini afiche hand bag.??
  20. K

    JamiiForums Tanzania Shemeji zangu Wagogo wako vizuri kwa Jiografia!

    Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni hapa na unaulizia mahali pa kwenda wao hawana kuelekeza pita kushoto au kulia ,au mbele wao husema...
Back
Top Bottom