Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
♦️Adai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa.
♦️Amtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza.
♦️Pia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya wakati wa rais Mwai Kibaki.
Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena....
Akaja akamwombea Dua mbaya Afande Sele. Mpaka leo yupo tu anadunda bila noma yoyote. Nikagundua huyu...
Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini?
Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu.
Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa.
Alitaka wanaharakati majini au
Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao
Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea...
Saalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango...
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.
Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
Picha na AP
Nchi ya Bangladeshi wameliomba shirika la polisi wa kimataifa la Interpol kutoa hati nyekundu au Red Notice ili kumkamata aliekuwa Waziri mkuu wa nchi hiyo Sheikh Hasina ambae kwa sasa yuko akiishi nchini India tangia mwezi August mwaka 2024.
Ikiwa Interpol watatoa hati hiyo Sheikh...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya kumuita kituoni na kumhoji juu ya kauli zake ambazo amekuwa akizotoa mara kwa mara.
Huyu Sheikh amekuwa...
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem:
"Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi.
Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.'
Kwa lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.