sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
  4. JamiiForums Tanzania Uchambuzi maalumu: Uzi wa Padri kulawiti watoto Vs Sheikh kulawiti watoto

    Habari za muda huu wana JF Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia. Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
  5. JamiiForums Tanzania Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

    Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu cha Sheikh Ponda: "Juhudi na Changamoto" Peacock Hotel

  7. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere, Julius Caesar, Sahib na vitabu vya Sheikh Ponda

    JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na Afrika ndipo alipomjua Mwalimu Nyerere vizuri sana. Anasema hakuna kilichokuwa kinampita...
  8. JamiiForums Tanzania Uso Kwa Macho na Bingwa wa Kutafsiri Qur'an Sheikh Mselem bin Ali

    USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli. Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  10. JamiiForums Tanzania Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

    MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA? Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui. Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina maisha na kifo kama binadamu. Kitabu kikikosa vitu hivyo kinaweza kufa mapema au kikafa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya watu 21, Rais wa Somalia aapa kulitokomeza kundi la Al Shabab

    Baada ya shambulizi la risasi na mabomu lililoua Watu 21 na kujeruhi 117 katika hoteli Nchini Somalia, Rais wa taifa hilo, Hassan Sheikh Mohamud ameahidi vita kali ya kutokomeza aliouita ugaidi wa Kundi la Al Shabab. “Ninajua Wananchi wa Somalia wamechoshwa na rambirambi na maombolezo...
  13. JamiiForums Tanzania Taazia: Buriani Mja wa Kheri Sheikh Salim bin Ahmed Bajaber

    TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa Markaz Madina, Amkeni Kikambala. Nilimfahamu Mzee Salim mwanzoni mwaka wa 2004 yeye na wakurugenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Sheikh Shaban Rashid Msuya Mwanafunzi wa Sheikh Hassan bin Ameir, 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s "Nakumbuka safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955, Sheikh Hassan bin Ameir alinichukua mimi na wenzangu kwenda Al Jamiatul Islamiyya kwani kulikuwa na sherehe ya kumuaga Nyerere. Sisi vijana wa madras ndiyo...
  15. JamiiForums Tanzania NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

    Nilijaribu kujibu hivi... 🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
  16. JamiiForums Tanzania Buriani Sheikh Abdallah Muhsin Barwani

    BURIANI SHEIKH ABDALLAH MUHSIN BARWANI Leo jioni nimepokea taarifa ya kifo cha Shekh Abdallah Muhsin Barwani aliyekuwa akiishi Dubai. Sheikh Abdallah Muhsin ni mdogo wake Sheikh Ali Muhsin Barwani mmoja wa viongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP). Sheikh Abdallah Muhsin amezikwa jana...
  17. JamiiForums Tanzania ''Bilal nusuru umoja wa waislam'' Mufti Sheikh Hassan bin Ameir 1963

    Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani:
  18. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1930s/sasa ofisi ya Bakwata Sheikh wa Wilaya

    OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s imebeba historia kubwa sana katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika picha...
  20. JamiiForums Tanzania Sheikh Shaban Rashid Msuya, mwanafunzi wa sheikh Hassan Bin Ameir 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s John Iliffe anasema historia ya TANU nyingi ipo kwa watu. Hili mimi nimelishudia mara nyingi. Aliyonieleza Sheikh Shaban Rashid Msuya jioni moja tukiwa tumekaa kwenye ukumbi wake Ugweno Kata ya Kifula sikuyategemea. Awali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…