sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh anatoa ya rohoni, kuhusu yanayojiri Tanzania na yatakayotokea. Kuna msiba wa mzito utatokea ASAP

    https://youtu.be/ObnNqWHIhwU?si=fZ3x4KYA79HxKTFj ILANI: Hii ni video ya Novemba 3, 2025
  2. JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    "Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza" Sheikh Kulunge
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Sheikh Abdul Rahman Buyondo - may Allah keep you strong

    🕌 💖 Sending Healing Vibes 💖 To our dear sheikh Abdul Rahman Buyondo Dear sheikh Buyondo, You are stronger than you know, and loved more than you realize. 🌟 Wishing you comfort, rest, and a smooth recovery. May each day bring you closer to full health and...
  4. JamiiForums Tanzania Msikilize Sheikh Walid, utampenda hata kama humtaki.

    Bonge la Sheikh https://youtu.be/gyJr5YA0CGc?si=VuspeUdqudu3LQjg
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola 👇 Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola. Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah 👇 Kwa maoni yako yupi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Walid- aliekuwa Sheikh wa Dar

    Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid Alhad Omari

    Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏 Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu; 1)Video zako...
  9. JamiiForums Tanzania BAKWATA KUNA MGOGORO? POLISI WALITANDA MSIKITI WA KICHANGANI, KISA SHEIKH WALIDI

    Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI. POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana idadi ya waumini iliyokuwepo Leo ilikua kubwa sana kuliko kawaida, hali iliyo pelekea wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

    Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa. Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna stori kuwa huyu sheikh kaikataa mimba ya huyu binti, binti naye karuka nae kidijitali kumuabisha

  13. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  14. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid aondolewa nafasi ya Sheikh wa Mkoa wa Dar kwa kukiuka misingi

    Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza. Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe...
  15. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mchange, Yona wa Chalinze au Sheikh Mwaipopo, ningejifunza kwa Musiba!

    Asiyejua alikotoka, hakika hawezi jua anakoenda! Moja ya urithi ambao awamu ya tano ilituachia ni somo la hatma ya aliyekuwa akijitambulisha kuwa mwanaharakati binafsi wa Rais Magufuli, ndugu Musiba. Nani hakumjua Musiba enzi za JPM? Musiba kwa matendo na maneno yake, ni kama alikuwa ndiye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

    Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri. Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa: Msimchafue Mfanyabiashara Nilesh Suchack Hawezi changia vyma vya vurugu

    https://www.instagram.com/reel/DarhTH8s5Fj/?igsh=eWI5dmwzOGVnenRs
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

    Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…