shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  2. JamiiForums Tanzania SHAMBA LINAUZWA KIBAMBA SHULE-TORINO

    SHAMBA LINAUZWA KIBAMBA 📍 KIBAMBA SHULE – TORINO 📐 UKUBWA: HEKARI 1.6 Shamba lina sehemu yenye unyevunyevu, na linaweza kutumika kwa shughuli mbalimbali kulingana na mpango wa mwekezaji: -Kilimo cha mboga mboga -Ujenzi wa nyumba na makazi -Ufugaji -Uwekezaji wa muda mrefu Pia unaweza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa,Ng'ong'ona_Dodoma M10

    Shamba linauzwa Ng'ong'ona _Dodoma,Karibu na UDOM,njia ya kuelekea mvumi_Muungano. Lina ukubwa wa ekari 2.5, Maeneo hayo yameanza kupimwa na Kuna makampuni ya upimaji ,Pia linafaa Kwa kilimo kama , Zabibu, Ufuta,Alizeti,Mahindi,Mtama,Maharage,Mbaazi,nk . Karibu uwekeze,namba ya muhusika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa,Nzogole_Dodoma,Tsh M8 Tuu

    Karibu wanaJf, Shamba linauzwa Nzogole,Mpakani mwa Bahi na Dodoma mjini.Lina ekari 2.4,lakini nimechukulia kama ekari2! Linafaa Kwa kupima viwanja, Kulima Mtama,Alizeti,Ufuta nk . Ni ukanda pia wa madini ya dhahabu Kuna machimbo huko. Karibuni sana.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...
  7. JamiiForums Tanzania shamba la hekari 114(sqm 463801) linauzwa ruvu kitonga

    habari za siku nyingi wakuu!! shamba la hekari 114.60(sqm463801)linauzwa… shamba lipo ruvu kitonga ni km kadhaa kutoka ruvu lipo pembeni ya mto ruvu bei 1.5m kwa heka moja na lina document zote kwa mauziano pia kwa anayehitaji heka chache chache anauza kuanzia heka 10 (hakuna dalali kaniomba...
  8. JamiiForums Tanzania Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

    Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Misugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa shamba lenye madini

    Habari za muda huu wadau, bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja, kuna shamba la familia yangu ambalo lina madini, yaliibuka tu gafla na watu wakaanza uchimbaji baada ya muda kama mwezi tuliwasitisha watu kuendeleza shughuli kwenye hilo eneo letu. Kwa leo nimekuja nipate abc ya namna...
  10. JamiiForums Tanzania Hii mbungi ya Monaban na Mojaa kuhusu shamba imenichekesha sana

    Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu. Sasa hapa kesi iliyopo ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda. Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha umwagiliaji kwa muda wote. Kilimo cha pesa ni maji ya uhakika. Wala huna gharama ya kuchimba kisima...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kununua shamba kwa wakwe

    Habari wana jamvi? Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau. Bei nipeni tahadhari wakuu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naangalia Nyumba kwa ungalizi

    Mhali Gani wakuu husika na kichwa cha habari pale juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta mtu au watu naoweza kuingia nao mkataba wa kumtunzia Nyumba akiwa kasafiri yupo mkoani au nje za nchi usihofu Mimi ipo ndani ya uwezo wangu usiwe na wasiwasi Utaikuta katika Hali nzuri vilevile kama...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mama lishe auwawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi mkoani Kilimanjaro

    Ni simanzi imetawala mkoani Kilimanjaro, baada ya mwanamke mmoja anayefanya biashara ya chakula, Restituta Moshiro (40), kukutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi, ukiwa na majeraha yanayoashiria aliburuzwa na kukabwa kabla ya kukutwa na mauti. Tukio hilo limetokea usiku wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

    Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti. Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
  17. JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Ni takribani miaka 8 tangu niliponunua pori lenye ukubwa wa ekari 10 katika kijiji cha Nnyengedi mkoa wa Mtwara na kuligeuza kuwa Shamba la Mikorosho. Shamba ambalo halipo mbali sana na barabara kubwa na makazi ya watu. Lilozungukwa na Mashamba ya wanakijiji na Wawekezaji wengine kutoka mjini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Soko la Viazi mviringo Obama na KADINYA Bei ya Shamba na Bei ya mjini ya gunia la kg 100 ni Bei Gani?

    Habari familia naomba kujua machimbo ya Shambani ya Viazi mviringo Bei zake Obama na Kadinya na Bei na Masoko ya mjini WAKUU
  20. JamiiForums Tanzania Shamba nililonunua kwa Tsh laki 3 mwaka 2009 leo hii thamani yake imevuka Tsh 40m

    Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…