Shamba linauzwa,Nzogole_Dodoma,Tsh M8 Tuu

Shamba linauzwa,Nzogole_Dodoma,Tsh M8 Tuu

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
14,723
Reaction score
21,099
Karibu wanaJf, Shamba linauzwa Nzogole,Mpakani mwa Bahi na Dodoma mjini.Lina ekari 2.4,lakini nimechukulia kama ekari2!

Linafaa Kwa kupima viwanja, Kulima Mtama,Alizeti,Ufuta nk .

Ni ukanda pia wa madini ya dhahabu Kuna machimbo huko.

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom