shabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shabiki Wa Simba Kuishabikia Yanga, Wa Yanga Kuishabikia Simba ni Uzalendo Wa Kipuuzi

    Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
  2. Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki...
  3. Nimependa hili jibu murua la Fiston Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere!!

    Unampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
  4. Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ...... Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza...
  5. Yanga play like big European clubs

    Yanga play like big European clubs I donโ€™t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na...
  6. Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  7. Mechi ambayo hawezi kuisahau kama ni shabiki wa Man United

    Alex Fergus aliteseka sana https://youtu.be/XXYbVpkI-UY?si=4NGKVOT9hgXRoIG- Sio ten hag peke yake angalia hii. Baada ya hapa sir alex alihakikisha anampata Ronaldo. Na akampa.nafasi
  8. G

    Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

    Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba? Nyerere - Yanga Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi) Mkapa - ???? Kikwete - Yanga Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
  9. Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi. Ali Kamwe amesema, "Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐™๐š๐ข๐๐ข .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
  10. AFCON: Shabiki wa Algeria atimuliwa Ivory Coast

    Sofia Benlemmane Ambaye ni raia wa Algeria amefurushwa toka Ivory Coast (deportation) baada ya kutoa maneno ya kashfa juu ya taifa hilo na wenyeji wake wa Afcon. Sofia alinukuliwa akisema Ivory Coast ni taifa maskini ambalo bado linaishi kama zama za kale na akaongeza kuwa Algeria imeendelea...
  11. Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

    Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine". Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
  12. Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa anashabikia Yanga. Huyu jamaa alikuwa yuko tayari kukosana na wafanyakazi wengine sababu ya kubishana mambo...
  13. Vinicius Jr. aipongeza Sevilla kwa kumfukuza shabiki aliyeonesha ubaguzi wa rangi

    Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi. Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
  14. Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  15. TFF inapokua shabiki wa Simba

    Kulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili?
  16. Salamu toka Kwa Shabiki wa Simba, Simba ijifunze kwa Yanga

    Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa. Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na...
  17. Kipanya ni shabiki wa Yanga lakini ametumika kumhujumu Rais wa Yanga

    Salam wana jamvi. Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari lake. Wadau waliowengi walisikitishwa na maongezi ya maafisa wale na kukemea kwa nguvu kitendo kile...
  18. Sir Jim Ratcliffe ni mwendawazimu anadai ni shabiki wa timu. Angeiacha club hadi Leo haina direction kuelekea dirishani?

    Nikumuangalia napata hasira sana. Namuona kama Mzee mia Tisa itapendeza r.i.p
  19. M

    Simpendi Guardiola na mimi siyo shabiki wa man city ila nawaombea kwa Mungu washinde

    Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid. Ilivunja sana mioyo ya mashabiki wa Man City walipokuwa na uhakika kabisa wanaenda fainali kukutana...
  20. CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ