Vinicius Jr. aipongeza Sevilla kwa kumfukuza shabiki aliyeonesha ubaguzi wa rangi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,211
5,244
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi.

Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa akifanya vitendo hivyo, alitolewa nje ya uwanja na kukabidhiwa kwa mamlaka ya Kisheria, baada ya hapo atachukuliwa hatua zikiwemo kufukuzwa uanachama kwa kuwa Klabu inalaani tabia yoyote ya ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni.”

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’ ulichezwa kwenye Uwanja wa nyumbani wa Sevilla, Uwanja wa Ramon Sanchez-Pizjuan.

============ ==========

Vinicius Junior: Real Madrid star praises Sevilla after ejecting fan for racism

Real Madrid footballer Vinicius Jr has praised Sevilla for acting swiftly to eject and report a fan to authorities for allegedly racially abusing him.

An image posted by Vinicius on social media appeared to show a man making a racist gesture towards him.

Vinicius said a second clip sent to him showed another young fan being abusive.

After the La Liga match, Sevilla said "a member of the public was identified, ejected from the stadium and handed over to legal authorities".

"Furthermore, the internal disciplinary regulations will be strictly applied to him and he will be expelled as a member imminently," the club said.

In a statement, the football club continued that it "condemns any racist and xenophobic behaviour, even if it is in isolation, as is the case, and shows its willingness and collaboration with the authorities to eradicate these attitudes, which do not represent a fan like that of Sevilla".

Real Madrid, who currently top Spain's La Liga, were held to a 1-1 draw away to Seville at the Ramon Sanchez-Pizjuan Stadium on Saturday evening.

Posting on X, formerly known as Twitter, after the match, Vinicius said the latest incident was "number 19 and counting".

"Congratulations to Sevilla for their quick positioning and punishment in yet another sad episode for Spanish football," he wrote.

"Unfortunately, I had access to a video of another racist act in this Saturday's match, this time carried out by a child.

"I am very sorry that there is no one to educate you. I invest, and I invest a lot, in education in Brazil to form citizens with attitudes different from these.

"The face of today's racist is plastered on websites as on many other occasions. I hope the Spanish authorities do their part and change the legislation once and for all."

He also called for people caught to be "criminally punished" too.

Vinicius has been repeatedly targeted with racist insults from opposition supporters.

Earlier this month the 23-year-old gave evidence in the trial of three Valencia fans accused of racially abusing him during a game in May at the Estadio Mestalla.
 
Kwani katika hii dunia mtu mweusi ndio mtu pekee anaebaguliwa? Mbona wengine huwasikii kulia kulia?

Watu weusi ni Drama Queens always wanapenda kutilisha huruma
Kwa bahati mbaya watu weusi ndio tumekuwa wahanga wakuu linapokuja suala la ubaguzi. Huo ndio ukweli

Ww unaongea haya kwa sababu hujawahi kuishi kwenye sehemu zenye ubaguzi siku ukiishi kwenye mazingira ya ubaguzi kwa 100% mtazamo utabadilika

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Huu ubaguzi sisi ndio tunaukuza.. ni vitu vya kupotezea, kwani akikuita mtu mweusi sio mweusi kweli!?
 
Huu ubaguzi sisi ndio tunaukuza.. ni vitu vya kupotezea, kwani akikuita mtu mweusi sio mweusi kweli!?

hilo ndio lla kushangaza, Bongo wahindi tunawaita wahindi, wachina tunawaita wachina, waarabu tunawaita waarabu lakini sisi Ulaya tukiitwa watu weusi ina kua nongwa? Ovyo kabisa mambo yetu
 
Kwa bahati mbaya watu weusi ndio tumekuwa wahanga wakuu linapokuja suala la ubaguzi. Huo ndio ukweli

Ww unaongea haya kwa sababu hujawahi kuishi kwenye sehemu zenye ubaguzi siku ukiishi kwenye mazingira ya ubaguzi kwa 100% mtazamo utabadilika

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Unaendelea kulialia typical black people mentality. umeahwi kusikia wahindi na waarabu wakilalamika hapa nchini? Je wao hatuwabagui?
 
hilo ndio lla kushangaza, Bongo wahindi tunawaita wahindi, wachina tunawaita wachina, waarabu tunawaita waarabu lakini sisi Ulaya tukiitwa watu weusi ina kua nongwa? Ovyo kabisa mambo yetu
Aleyeturoga kafa... Hata hapa bongo utasikia, mudi tall, mudi white au cheupe, kipindi tupo school kuna mshikaji wangu alikuwa mweusi mnoo, ukimuita mweusi ugomvi wake ni mzito..🤣
 
Kwani katika hii dunia mtu mweusi ndio mtu pekee anaebaguliwa? Mbona wengine huwasikii kulia kulia?

Watu weusi ni Drama Queens always wanapenda kutilisha huruma
Uko sahihi tena wabaguliwe hata kwa kupigwa mitaani yaani daily ni kulialia tu huku uharisia tunapenda sana kujikomba kwa hao pigs
 
Unaendelea kulialia typical black people mentality. umeahwi kusikia wahindi na waarabu wakilalamika hapa nchini? Je wao hatuwabagui?
Ubaguzi unaotofautiana chief

Wahindi hapa bongo hawajawahi kuiexperience ubaguzi wa mpaka kuitwa nyani

Nao hao wahindi tunawafanyia ubaguzi nyuma ya migongo yao sio live live km wanavyofanya wazungu

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom