The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu.
Namaanisha...
Anonymous
Thread
abiria
buku
dar
hata
kituo
kuchukua
kulipia
madereva
sehemu
sgr
wao
Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika.
Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika reli na kuweka njia za umeme kama angekuwepo mradi ungekuwa umekamilika.
Leo hii watu wangeweza...
Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulance kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa kuja na hiyo SGR Ambulance itakuwa imewasaidia wananchi wengi.
Hayo ameyasema bungeni wakati...
Tanzania tunaelekea kufanya jambo kubwa kupitia mradi wa reli ya kisasa ya SGR. Lakini baada ya kukamilisha SGR, nina pendekezo Serikali iandae project nyingine kubwa ya kimkakati ya kujenga barabara kuu za njia nne (dual carriageways) kwenye route muhimu zote za nchi yetu zinazobeba uchumi wa...
Tanzania and Sweden are taking another major step forward in their partnership with the signing of SGR Lots 3 and 4 in Dodoma.
With financing of around USD 1.32 billion, this milestone reflects a shared commitment to long-term, sustainable infrastructure.
Already used by over 5.5 million...
Uzi na Mr Attorney
Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi.
Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi…
Ila Train za Jumapili kurudi DOM huwa ni kisanga sana.
Huwa mamanzi wanalala tu, wamechookaa hatariii… wapo hoooii bin Taaban...
The National Environment Management Authority (NEMA) has opened a 30-day public review period for the proposed extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Kisumu to Malaba, marking a critical step in the approval process of the multi-billion infrastructure project.
In a public notice...
Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
Anonymous
Thread
isaka
katika
kazi
kufukuza
mradi
mradi wa sgr
mwanza
sgrsgr mwanza
wachunguzwe
Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
The World Bank will financially support Uganda in the construction of the Standard Gauge Railway (SGR), a senior official of the global financial institution has said.
According to a State House statement issued Wednesday, Fan Qimiao, World Bank division director for Kenya, Rwanda, Somalia, and...
Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (demu unamkuta yupo pale pa kusubiria wageni kama TAXI driver vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Tukiwa Kwenye gari anadai twende tukalale kwake badala ya hotel.,.).
Nimetapeliwa...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi.
Akizungumza wakati wa kuanza safari...
Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea...