sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli? Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
  2. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Etihad Rail kupewa SGR kuiendesha

    "....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad." "....moja ya masharti ya mkopo fulani kutoka kwao unakipengere hicho." "....Rais alishawaelekeza wataalamu hataki...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  4. John Sin

    JamiiForums Tanzania Marekani, Uingereza na China zaitaka SGR

    Serikali imesema nchi tano zikiwamo China, Marekani na Uingereza zimeonyesha nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ushoroba wa Mtwara kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). Nipashe
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  7. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Behewa za kisasa za reli ya SGR zimewasili

    Ni behewa za kisasa na zenye mwonekano wa kupendeza zinazotarajiwa kuanza kubeba abiria mapema mwezi ujao kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Ni ndoto iliyootwa na ndugu hayati Magufuli na sasa rasmi inaenda kuanza kutimilika hivi karibuni. Hongera hayati Magufuli na hongera Rais Samia...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba 2023

    Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba mwaka huu. Akijibu swali Bungeni Jijini Dodoma leo, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesema mwezi wa sita wanategemea kupokea mabehewa yenye ghorofa na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi. Soma pia: Uzi mkuu...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANESCO: SGR haitokosa umeme, ratiba kutovurugwa

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Mpina akiwasha tena Trilioni 2 za SGR, ataka mkandarasi atimuliwe

    Mpina akiwasha tena Sh2 Trilioni za SGR ataka mkandarasi atimuliwe; Naibu Waziri amjibu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

    Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR "Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania SGR Dar-Moro yafikia asilimia 98, Moro-Makutopora 93%

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema maendeleo ya Ujenzi reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vyote vitano unaendelea vizuri ambapo kwa kipande cha Dares Salaam hadi Morogoro ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 98 Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TRC, Jamila Mbarouk...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda to start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August 2023

    Uganda has announced the start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August, in a decision that revives hope for the extension of Kenya’s Sh327 billion project whose viability was dependent on the Ugandan section. Uganda says it has secured funds from the Standard Chartered...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

    Habari zenu wana JF wenzangu, Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme. Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

    Taarifa za uhakika ni kuwa Ujenzi wa Reli ya SGR hasa vipande vinavyohusu kampani ya waturuki umesimama na kazi zinazoendelea ni chini ya asilimia kumi, yaani ni kama wanaweka watu wachache kwenye sites ili kusionekane hakuna watu kabisa. Ni vema serikali kama kweli inawalipa ikachunguza ni...
  18. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Mradi wa SGR Morogoro - Makutupora

  19. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibarua wanaojenga SGR Itigi wamegoma kufanya kazi wakidai maslahi ni duni kwa Wazawa

    Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa. Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
Back
Top Bottom