serious

Serious is an observational documentary series made by the BBC and broadcast as part of their children's programming. It encompasses Serious Jungle (2002), Serious Desert (2003), Serious Arctic (2005), Serious Amazon (2006), Serious Andes (2007), Serious Ocean (2008) and Serious Explorers (2011). Serious Ocean consisted of ten 30-minute episodes, while each previous series was six 30-minute episodes. In each series a group of eight 12- to 15-year-olds embark on an expedition to an extreme part of the world, in order to help wildlife or assist in environmental projects. The programmes have won numerous awards, among them honours from BAFTA and the Royal Television Society.
So far only Serious Amazon, Serious Ocean and Serious Andes have been aired in Australia, on ABC1 and ABC3.
The series has also been shown on Discovery Kids/The Hub, where five complete seasons have been shown. Slovenian television Kanal A has bought the rights to air Serious Amazon. The show airs Saturdays at 2:10 pm, under the title Vse o Amazonki (All About the Amazon).The Italian television network RAI in early 2009 aired Serious Jungle, Serious Desert, Serious Arctic, Serious Amazon, and Serious Andes.

View More On Wikipedia.org
  1. USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  2. N

    KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  3. Nchi 2 za NATO zatoa onyo kwa raia kuhusu mashambulizi ya nyuklia ya Urusi

    Kizazi cha karne ya 21 hakiamini kuwa vita ya dunia huanza kama mzaha. Paneli ya kipindi cha Outnumbered wamejadili maendeleo ya kutisha baada ya vikosi vya Ukraine kushambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu kutoka Marekani. Pia, walijadili hatua ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin...
  4. Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi Unazani...
  5. Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  6. CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  7. ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
  8. T

    Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa nchi walio serious na maisha eti anainua michezo kwa kununua magoli!

    Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe. Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
  9. F

    Masters and PhD scholarships for international students. Researchlink International offers application assistance to qualified and serious students.

    You must be a graduate and are serious in making impactful application to these prestigious scholarships from UK and Denmark. ResearchLink International ResearchLink International offers technical assistance to a few serious students from Tanzania. Visit the organization website and go to the...
  10. A serious woman to Marry is needed

    I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those. should be aged 25 to 30. Able to understand shortly and hardworking. Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer...
  11. Azam tv kuweni serious mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno

    Naangalia mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno naona Azam tvna hawa washirika wao kwenye kurusha wanatumia tecno. Azam TV inabidi mjitafakari
  12. E

    Am looking a woman for serious relationship

    Hallow,I am a Tanzanian man aged 39 yrs Single with one kid looking for a serious relationship...for more check me pm
  13. Natafuta business partner (only serious person)

    Hello Wanajamvi…… Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…) Frem ya kisasa Leseni ya biashara Mashine ya...
  14. R

    Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  15. G

    Snowfall: Teddy alikuwa serious alipokubali kumrudishia Franklin nusu ya pesa aliyomuibia?

    Teddy alimuibia Franklin pesa zote kwenye account Dola milioni 73 bila kuacha senti Franklin aliweza kumkamata na kumtesa mpaka akakubali kumlipa nusu ya pesa aliyoiba dola milioni 37 bad luck, Cissy mama wa Franklin alimuua Teddy. Yote kwa yote, Teddy alikuwa serious kumrudishia Franlin Pesa ?
  16. M

    IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

    Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari. Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande...
  17. Leonel kawafilisi ama mmewachoka mashabiki simba??mzunguko vs tabora 10000 serious??

    Mfanyabiashara yuko kazini zaidiiiii Lazima turudishe hela zetuuu endeleen kushabikiaa tu wachezajii
  18. T

    Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  19. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  20. Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…