serikali

  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi mwananchi kukamatwa/kulipa faini kwa kutohudhuria mikutano Serikali za mitaa,Kuchangia ujenzi madarasa?

    Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli investigation zile za kweli serikali yetu imekuwa ikizipinga sana na ikitokea serikali ushindwa vibaya sana.

    Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5. Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa anajifanya serikali yake ya viwanda lakini wajenga viwanda akawafukuza na kuwafilisi. Samia kajenga viwanda 30k ila takwimu zinagoma

    Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda. Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS. Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
  5. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetoa trilioni moja kutekeleza mradi wa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora - Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi

    Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yaitaka serikali kuwachukulia hatua Wasira na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira, na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar, Hamis Mbeto, kwa kupotosha umma kuhusu tukio lililotokea nchini Angola. Wito huo umetolewa leo...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa serikali ayataka makampuni ya utengenezaji wa mabasi ya china kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi nchini

    MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Hesabu za Serikali imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA na kutaka ukamilishwe kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida tarehe 15 Machi, 2025. Mradi huo hadi kukamilika kwake unatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 13 na unatarajiwa kunufaisha vijiji 11...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani, Machi 16, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu wa ACT Wazalendo: Tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze

    “Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Serikali itengeneze mazingira rafiki wasomi wakatafute Fursa nje ya Tanzania, kusoma VETA sio Fursa.

    Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini

    Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini. Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka maeneo ya mgodi wa madini Nditi, Nachingwea

    Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni eneo la rashi. akizungumza mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Moyo akiwa ameambatana na kamati...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya miundombinu yaitaka Serikali kumsimamia mkandarasi ujenzi barabara ya Tanga-Pangani ili ikamilike wakati

    Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
  19. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  20. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Vijana waliomaliza VETA na hawana kazi serikali inawasaidiaje

    Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
Back
Top Bottom