Ushauri wangu kwa serikali
1. Wizara ya Nishati, EWURA na TANESCO.
( A ) Kwa kuwa ripoti zao zinaonyesha umeme uliopo ni mwingi kuliko mahitaji basi ni rai yangu washushe bei ya kuingizia umeme kuwa TZS 27,000/= kwa maeneo yote nchini ili kila mmoja amudu na Faida yake ni kwamba shirika...