serikali

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgodi unaomilikiwa na Wakinamama wachangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali

    MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huo ambao kwa kiasi kikubwa unaendeshwa na wakinamama upo Kahama Kijiji cha Mwime Kata ya Zongamela ambao...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  6. immortanity

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita

    Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?

    Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali. "Jambo hili...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika

    Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito. Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
  17. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Naomba kuisaidia serikali kuwapa wazo ambalo litasaidia kuondoa kupunguza tatizo la ajira kama sio kuliondoa kabisa.

    Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera: Serikali yaingiza Tsh. Bilioni 3 ndani ya Miezi 8 kupitia Sekta ya Madini

    Makusanyo ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 3.2 Kagera ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 5.8 na mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu wa...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania DC Kilindi, Hashim Mgandilwa azindua mfumo wa Centralized GOT-HOMIS kwa Vituo vya Afya vya Serikali

    Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
Back
Top Bottom