serikali

  1. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  2. W

    Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  3. ngara23

    Serikali na TRA wekeni utaratibu wa kupata Kodi ya bodaboda

    Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa. Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu Kulipa Kodi ni jukumu la kila anayeingiza kipato Kama serikali inatoza Kodi mlinzi wa SUMA JKT, mwalimu, police, nurse n...
  4. stakehigh

    Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  5. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  6. Carlos The Jackal

    Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

    Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa. Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k Dunia iliingia mikataba ya Kimataifa Kwa pamoja kuhusu haki ya kuishi ya kila mwanadamu na haki hizo lazima...
  7. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  8. Sir John Deere

    Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
  9. M

    PreGE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
  10. Ileje

    Serikali ya Samia kuingilia Mahakama na Rushwa ya Mazingira - Ushahidi huu hapa

    Itakumbukwa Mbowe alikamatwa Mwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi na uhaini na kukaa rumande kwa miezi nane (8). Kesi ya awali ilisikilizwa na Jaji Siyani ambaye baada ya kumkuta Mbowe ana kesi ya kujibu alipandishwa cheo na kuwa Jaji Kiongozi. Cheo hiki kilikuwa shukrani ya serikali ya Samia...
  11. Escrowseal1

    Serikali anzisheni agency ya ukaguzi wa magari hizi ajali zimetuzidi nguvu.

    Lori lingine nimefyeka watu 10 Tanga. Recently nilishauri serikali kuanzisha agency ya ukaguzi wa magari. Moja ya sekta ambazo kama nchi tumekwama. Machine zinazotembea barabarani ni kama majeneza. Yameoza hayafanyiwi service. Nashauri tena serikali anzisheni agancy serious ya kukagua magari...
  12. Mindyou

    Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  13. Logikos

    Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  14. Roving Journalist

    RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  15. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  16. Nasri Benson

    Ushauri wangu kwa serikali

    Ushauri wangu kwa serikali 1. Wizara ya Nishati, EWURA na TANESCO. ( A ) Kwa kuwa ripoti zao zinaonyesha umeme uliopo ni mwingi kuliko mahitaji basi ni rai yangu washushe bei ya kuingizia umeme kuwa TZS 27,000/= kwa maeneo yote nchini ili kila mmoja amudu na Faida yake ni kwamba shirika...
  17. H

    KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

    Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET. Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
  18. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  19. OMOYOGWANE

    Wazo ftatu: Serikali iandae sera ya kuhamasisha ndoa (iwalipie mahari waoaji kwa asilimia kadhaa) ili kukuza uchumi wa Taifa

    Wakuu mpo? Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka, Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha na kazi yeyote, wengi huamka asubuhi huenda kazini na kurudi home mida mibovu, sababu kubwa ni...
  20. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
Back
Top Bottom