Tender za serikali hasa kusupply material ya ujenzi mashule,zahanati na mengineyo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,909
Reaction score
4,684
Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
 
Usithubutu utalia kilio cha mbwa muulize DeepPond
 
Alafu deepbond mtaalamu wahizi mambo ana baishara ya hardware kubwa tu na anafa kituo Cha mafuta ila hataki kutupa abc zabiashara hasa Huku katika kazi zaserikali
 
Mbona alishatoa kufanya kazi na serikali.
 
Hao wanaofanya wanafanyaje maana hawaishi kuzisaka hizo tender nawanazid kutajirika tu kwa kazi za tender za serikali
 
Kwasasa usumbufu sio mkubwa sana labda halmashauri ila mashuleni kidogo wanawahisha.

Uwe na kampuni yako halafu uende ugavi ukajisajiri nest .ila uwe na mtaji wa kutosha na uvumilivu wa nguvu.

Kila tenda ya serikali kwasasa inaombwa kwenye mfumo wa Nest. Ukijisajiri tenda ni nyingi utakuwa unaziona.
 
Zamashule na zahanati zinahitaji uvumilivu nazo? Maana naskia Hela zao huwa ziko tayar katika account zao
 
Kwasasa usumbufu sio mkubwa sana labda halmashauri ila mashuleni kidogo wanawahisha.

Uwe na kampuni yako halafu uende ugavi ukajisajiri nest .ila uwe na mtaji wa kutosha na uvumilivu wa nguvu.

Kila tenda ya serikali kwasasa inaombwa kwenye mfumo wa Nest. Ukijisajiri tenda ni nyingi utakuwa unaziona.
Kwa sasa utaratibu uko poa. Unajipimia tu uombe tenda ngapi na zipi kulingana na uwezo wako. Kama uwezo mkubwa unaomba kila inayopostiwa.
 
Cheza na shule Kila mwezi zinakuja lakini pia usiwe n mkono wa birika
 
Hapana. Siku hizi ndo wanalipa kwa haraka.
Kuna mtu wangu wa karibu anasambaza chakula mashuleni nakumbuka mwaka 2020 kitu kama icho alipewa pesa chap 100m akampa mhasibu 1m akaniambia sikuhizo pesa unaingia chap lakin ucheze sana na mhasibu
 
Back
Top Bottom