serikali

  1. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  2. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

    Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23. Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea Uvira. Uvira bado ilikuwa mikononi mwa FARDC,Wazalendo na jeshi la Burundi. Hapo, Doha, nchini Qatar...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

    Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe. Ndalichako Kabudi Kijazi Mfugale Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

    Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa. Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  11. La Quica

    JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DAS Jacob Rombo: Watumishi Zingatieni Maadili, Serikali Inawaamini

    WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
  13. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwajali wanafunzi Kama inavyowajali wafungwa?

    Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi yao kupata fursa ya elimu. Hili ni jambo jema kwa kuwa hata mfungwa anastahili haki zake za...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

    habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kufika hospital ya KIBAHA ya serikali

    Habari za Asubuhi Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital. Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho. Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand Naomba...
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

    Najaribu kujiuliza tu wakuu. Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk. Sasa katika maongezi na dodoso...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama wabunge wameanza kuorodhesha mambo waliofanya kwenye uongozi wao, sasa Rais Samia kafanya nini? Kwahiyo mama amejaa madeni?

    Ni swali tu mje kwa step msije mkajikwaa mkavunja miguu🤣🤣🤣 Ilikuwa kila unakopita mama kafanya hiki, mama kaleta hela zile, mama kanunua hiki, mama kasaidia wale, mama kajenga nini, mama hadaiwi.. mamaaa.... mamaa.... mamaaaa! Kinachoshangaza sasa hivi kila anayetetea nafasi yake anaorodhesha...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hili la wanaoandamana kwa ajili ya kufanya ibada serikali na wahusika wanaweza kulimaliza wakiwa mezani

    Naona kama huu mgogoro wa wanaondamana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada unaanza kuzoeleka.kitu ambacho kwa maoni yangu ni kuendelea kuiletea doa nchi yetu.Kwa nini serikali isikae ikafanya mazungumzo na kuwasikiliza hao waandamanaji na kuweka utaratibu mzuri wa kufanya hiyo ibada kwa...
Back
Top Bottom