serikali

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa kwenye serikali isiyo ya kidemokrasia

    Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo. Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na suluhisho la foleni mpaka wa Tunduma

    Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma. Pia soma ~ Foleni ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tunajanga lengine kwa Vijana wanafikiria kuwa serikali itawaletea ugali mpaka mezani(upinzani unavyilaghai vijana)

    Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea. Alafu kuna hawa vijana ambao wanao wanajaa upepo wa siasa za majukwaa,expection zinakuwa kubwa sababu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakati EU na America wakijiandaa kuitenga serikali ya Samia, Watanzania tusiwe nyuma, ni wakati wa kumsusia kila kitu abaki peke yake!

    Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je serikali imeondoa kukopa kwa ESS?

    Wadau salam. Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali. Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nakuuliza Mh Rais Lissu alitaka kupindia serikali atawale yeye au alete vita?

    Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka Tunachoka wananchi
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali hana mihemko na amevimeza vifungu vya Sheria

    Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  11. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Haki ya kuishi haiwezi Kutengwa na Serikali au Chama Tawala

    https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo katika mfumo wa serikali au chama tawala hawana haki ya kuishi wala kushiriki katika maendeleo ya taifa...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inawezaje kupigwa kopi?

    Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali. Hivi Serikali inawezekanaje ikapigwa kopi?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yazipa sapoti CHADEMA, CUF na ACT

    CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM. Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom inatoa internet device(router) burekwenye taasisi/ofisi yoyote ya serikali

    HABARI NJEMA KUTOKA VODACOM. VIFAA VYA INTERNET (ROUTER BURE) Ofisi za kijiji, kata, kitongoji, ofisi za wilayani Masijala office, procurement office,HR OFFICE Ofisi za afisa kilimo, lishe, biashara Shule zote , vyuo vyote vya serikali Mahakama, magereza. Police, jeshi. Zimamoto Hata kama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School) Fedha hizo zimetolewa...
  17. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tender za serikali hasa kusupply material ya ujenzi mashule,zahanati na mengineyo

    Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
  19. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila: Hakuna mkono wa serikali CHAUMMA

    "Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka 2005. Leo wao wanaruka na Helkopta? sasa wakubali kama hii Helkopta tumepewa na serikali waseme ya...
Back
Top Bottom