Mara nyingi nimekuwa nikiwaza kuhusu ni nini watanzania watachokiamua watakapopitisha katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan suala la muundo wa serikali.
Nimetamani sana uwepo mdahalo uhusuo jambo hili, ili hoja zijengwe na kusikika kuhusu tuwe na serikali kuu ya namna gani...