serikali

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali iache collective punishment!

    Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu mitandao wakati polepole anaongea? Maria sarungi na wanaharakati wengine walikuwa wanatumia twitter...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

    Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+. Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu. Ameongea vitu...
  7. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Liberia waandamana wakidai Haki, Ajira na uwajibikaji kutoka kwa Serikali yao ya Rais Joseph Boakai

    Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora waliyohahidiwa tangu alipoingia madarakani mwaka jana Waandamanaji walilalamikia kupoteza ajira...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza ujenzi wa ofisi mpya ya kisasa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera

    , ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, alieleza kuwa jengo hilo litakuwa la kisasa, imara na litaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe upinzani hapa Tanzania maana yake ni uadui na serikali! Duh hii kali

    Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa. Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni kiini macho, kama kweli serikali ya CCM ipo serious tunataka tuone vitendo kuanzia sasa

    Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

    Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Serikali Inakuja na Mkakati wa Kuwawezesha Wazalishaji Chumvi Nchini

    Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa Los Angeles wakamatwa kwa Tuhuma za Kudanganya Wanawake wabeba mimba kwa niaba, Watoto 21 wachukuliwa na Serikali

    Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini Watoto...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Nia ya Gwajima ni kushawishi Vyombo vya ulinzi kuichukia Serikali japo ameshafeli

    Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa mihimili yote mitatu ya serikali

    Hapo mwanzo nilidhani mhimili wa bunge ndio mbovu kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kama asemavyo CAG mstaafu kuwa bunge letu ni dhaifu, taarifa za CAG kila mwaka zinathibitisha kuwa hatuna bunge makini ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo, Bunge hili limeshindwa kutunga sheria makini...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa kwenye serikali isiyo ya kidemokrasia

    Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo. Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na suluhisho la foleni mpaka wa Tunduma

    Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma. Pia soma ~ Foleni ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
Back
Top Bottom