serikali

  1. Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  2. M

    Tender za serikali hasa kusupply material ya ujenzi mashule,zahanati na mengineyo

    Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
  3. Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  4. GE2025 Kigaila: Hakuna mkono wa serikali CHAUMMA

    "Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka 2005. Leo wao wanaruka na Helkopta? sasa wakubali kama hii Helkopta tumepewa na serikali waseme ya...
  5. Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.

    Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028. Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
  6. Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

    Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
  7. Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  8. Hivi Serikali ina mpango gani kwenye mikopo ya elimu?

    Hivi Serikali ina mpango gani na hawa vijana kwenye mikopo ya elimu? Kuna utaratibu mpya wa kupata barua za utambulisho kwenye mfumo maalumu wa serikali unaitwa NAPA Lakini watendaji wa vijiji hawajapewa mafunzo yoyote kuhusu huo mfumo Matokeo yake vijana wanashindwa kufanya lolote kwenye...
  9. Isihaka Mchinjita: Serikali ilaumiwe kwa kushindwa kuwaajiri walimu

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameikosoa vikali Serikali kwa kushindwa kushughulikia tatizo la ajira kwa walimu pamoja na uhaba mkubwa wa walimu mashuleni. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 11, 2025, katika Jimbo la Pangani, Mkoa wa Tanga...
  10. Serikali fungulieni mtandao wa X

    Hata nyie mmeshaona hamuwezi kuishi bila twita, rais anatumia, taasisi za serikali zinatumia, viongozi wanatumia. Sasa mnafungia ili iweje? Me naona kama hii Tanzania kweli huko mbinguni ni channel ya vichekesho!
  11. B

    Serikali yaivalia njuga suala la watu wasiojulika, na kubaini yafuata baada ya uchunguzi

    “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA https://m.youtube.com/watch?v=SwfLhnHwpOA “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA During the program this Thursday, criminalist Paulo de Sousa commented on the murder that...
  12. S

    Hatimaye kuna mtu amekiri wazi kwamba kuna watu wakitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika!

    Conclusion: Kuna watu wakitoweka na kufariki ni serikali imehusika, ila sio kila mtu akitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika! Haya, tumewasikia. Tulisema siku nyingi, mtajikuta mmeongea hata bila kujitambua! Chanzo: Nipashe
  13. Padre Kitima aufananisha Uovu unaoendelea Nchini na Uovu Aloufanya Dikteta Hitler !Asema Mwisho wa Uovu Huwa ni mbaya

    Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
  14. Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  15. Msongamano wa Mabasi ya Mwendokasi Wazua Maswali, Je, Serikali Inachukua Hatua?

    ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi milango inafunga kwa Taabu! kweli nimeamini hapa kuna jambo kubwa linaweza kutokea tena la KAFARA...
  16. K

    Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri. Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
  17. Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  18. NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2025

    Wakuu Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link Matokeo Ya Kidato Cha 6 Mwaka 2025
  19. Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

    Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
  20. Bado tunalaumu serikali kuhusu AJIRA?

    Habari mazee! Huyu jamaa kajiongeza sana na elimu imemsaidia kwa kiasi kikubwa, hakutaka kuilaumu serikal bali alichukua hatua na kujiajiri mwenyewe kuliko kuendelea kulalamika https://www.youtube.com/watch?v=ESl_RqbPpb0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…