serikali

  1. Bila bila

    JamiiForums Tanzania GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

    Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao. Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Msigwa, Serikali inaumizwa na CNN kuweka HABARI za Mauaji, ila Serikali Haiumizwi na Mauaji iliyoyafanya Kwa Wananchi

    Mnaendelea kutupa sababu za Maandamano DEC 9 , tutatoka!!
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

    Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bora tuwe na serikali mseto kuliko kutumia mbinu za kijima,kishamba kwenye chaguzi zetu hizi!

    Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi! Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!? We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  14. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inatowa wapi uwezo wa kubishana na satellite(teknolojia)?

    Hapo vip! Nimemsikiliza msigwa duh, katika dunia ya sasa hivi wanaonekana kama wana mental-disorder. Hivi ushahidi kama ule uliofanyiwa utafiti na kuthibitishwa kwa technolagia ya hali ya juu,leo wewe mbuzi unayeishi kiprimitive unapata wapi confidence ya kuja kubishana na ukweli kama ule...
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inavyowashawishi na kuwabugudhi bodaboda kuhusu maandamano, inawamiliki?

    Matamko yalianza mkoa kwa mkoa kuanzia na wakuu wa polisi mikoa kuwaita bodaboda na bajaji na kuanza kuwaonya kuhusu maandamano ya D9. Hao si watu huru? Hao si wajasiriamali? Hao si watu wazima? Mbona kuwatesa kwa kujifanya mnawashauri. Mmechangia kiasi gani kuboresha maisha yao? Hawana ndugu...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

    Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika. KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
Back
Top Bottom