Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya.
Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana.
Yote haya mlionywa...
Hizi jitiahada zenu ,za kutaka kufanya biashara iwe ya kila siku kwamba maumivu ya tz yatakua ya siku zote ,this time haiwezekani wakuu, mwafaa alisema JPM .
The only solution nikiwa na serikari ya mpito isiyo zidi mwaka mmoja na iwe chini ya aliekuwa waziri mkuu , Mzee Warioba ,nyie wana...
SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA.
Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya.
Jambo kuu:
Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26...
Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali.
Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais.
Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.
Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.
Yeye anasema akasukuma...
Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka
Hii dhana kwamba walioandamana walikuwa wageni inatoka wapi? Wageni gani ambao wamekamatwa na...
Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi 1642
6. Pikipiki binafsi 2268
7. Magari ya Serikali 976
Lakini jambo la kushangaza, serikali mpaka...
Hamjambo Wote!
1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote.
2. Huenda jambo hilo huweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na baadhi ya watu kwa kuona labda tunatetea upande fulani au tuna kile...
Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi.
Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE.
Jakaya Kikwete na Familia yake.
Rostam Aziz...
Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana.
Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote.
Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote .
Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE.
SASA , Onyo...
Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa.
Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini.
Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa.
Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki...
Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?
Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia.
Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola.
Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.
Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.