serikali

  1. JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Taasisi za Serikali na Benki za Kibiashara hasa Benki za NMB na CRDB

    Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika benki hizo. Kwa mfano,hizi benki mbili kwa sasa zote zimeanzisha huduma ya salary advance, huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali ya Tanzania na ni fedheha mbele ya Wageni kushindwa kuwatambua wapinzani kwenye msiba wa Dkt. Magufuli

    Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi. Lakini hatukutarajia chuki hizo zifike hadi kwenye Msiba wa Rais wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli. Maandiko yao...
  5. JamiiForums Tanzania Safari za kuaga mwili mikoa mitano, wakuu wa Serikali wanapitisha madokezo?

    Najiribu kujiuliza Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia? Kuna madokezo yamepitishwa Serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi. Kama mnapisha madokezo,nani anadhibiti. Nauliza kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

    Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21...
  7. JamiiForums Tanzania Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

    Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya . Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa...
  8. JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

    Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini. Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6? Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile. Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    Habari, fedha anayokwatwa mwanachama wa NSSF siyo ya serikali bali serikali inaisimamia tuu mifuko hii. hii fedha ni fedha ya wanachama. Nashindwa kuelewa pale Mtu anaposema watanzania tunapenda vitu vya bure. Naomba nikuelimishe kidogo wewe unayesema tunapenda vitu vya bure. Kama kazini...
  12. JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

    Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

    Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey Polepole. ======== Polepole: Chama cha mapinduzi, safu yake ya uongozi na wanachama tumepokea kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali itabakia Dodoma?

    Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu. Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo...
  17. JamiiForums Tanzania TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

    Kwa utafiti wa siku nne niliofanya TRA Arusha hususani idara ya Dept Management ambao pia nimehusisha baadhi ya wateja waathirika wenzangu nime note deliberate sabotage ya mapato ya serikali inayofanywa na wafanyakazi haswa kwenye issue ya TAX clearence. Katika utafiti wangu nimebaini...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali hii mna tatizo gani kutolipa wastaafu mafao yao? Hii ni laana mtaua wazee wa watu kwa mawazo

    Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake? Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli "Kabla ya kuwapongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…