serikali

  1. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia: Musukuma usiaminishe wanafunzi kuwa elimu ya darasa la 7 ni bora kuliko elimu ya juu

    Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi kuboresha shule kwa ajili yao na hivyo ni muhimu kuwahamasisha kusoma kuliko kuwakatisha tamaa. Naibu...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa azuia magari ya Serikali kununulia nyanya

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanayatunza magari waliyokabidhiwa na serikali na kwamba atakayekutwa amepaki gari kisa kukosa 'service' atakuwa hana kazi na kwamba magari hayo yasitumike kununulia nyanya wala kwenda nayo bar...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inunue Magari ya idara zote za Halmashauri ili kuleta tija na Ufanisi Nchini

    Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa idara na vitengo 19. Idara zilizopo katika Halmashauri ni idara ya Elimu Msingi, Idara ya elimu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kuanzisha wizara ya usafi kuanzia nyumbani Hadi makazini

    Natumai hamjambo nyote Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani 1:uchafu 2:uchafu Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia Haijalishi una maisha gani Jiulize unafika hospital kuanzia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi nawasalimu. Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea. Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yaombwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watu wanaookota makopo

    SERIKALI imeaswa kuweka utaratibu wa kuwatambua watu wanaookota makopo nchini na kuwaingiza kwenye ajira rasmi ili kuwapa motisha watu wengi zaidi kufanya hiyo kazi ili kuboresha kazi zao katika kuendelea kuimarisha sekta ya mazingira. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nipe Fagio Ana Rocha...
  7. JamiiForums Tanzania Chondechonde viongozi wa Serikali muwe na maelewano

    CHONDECHONDE VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM, MUWE NA MAELEWANO. Natumaini wanaJF mko wazima kabisa. Leo baada ya wengi wenu kunipigia simu na kunisihi niseme neno kuhusu haya mambo ya viongozi wa serikali wanaotokana na Chama kilichobeba matumaini ya watanzania, CCM, kukwaruzana wao kwa wao kama...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Serikali mtusaidie kufungua mifumo tupate mikopo

    Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini? Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

    Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso. Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Rais Samia kuisuka upya Serikali yake, hujuma zimeanza kuwa za waziwazi

    Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

    Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam. Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

    Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani. Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaendeleza ukandamizaji dhidi ya Vyombo vya Habari

    Mamlaka Nchini Belarus zimevamia Ofisi za Chombo cha Habari cha Tut.by pamoja na makazi ya Mhariri ambapo Tovuti hiyo imetolewa hewani. Maafisa wamesema ni kutokana na Kesi ya ukwepaji mkubwa wa kodi. Matukio ya uvamizi ni sehemu ya ukandamizaji unaofanywa dhidi ya wanaopaza sauti...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
  17. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yasema Mahakama inashikiliwa na inalenga kudhoofisha nchi

    Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county. It came after the high court ruled that President Emmerson Mnangagwa's extension of the chief justice's term by five years was illegal. In...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kukagua viwanda ambavyo vinasuasua au ambavyo vimeshindwa kujiendesha na kuwapa wawekezaji wapya

    Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri. Viwanda...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa. Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya ziwa Victoria. Amesema ni vema Kanisani pakawa ni mahali pa watu kumuabudu Mungu na kamwe pasiwe...
  20. JamiiForums Tanzania Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho. Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…