serikali

  1. W

    Kuna dalili Serikali inapoteza mapato mengi sana kupitia hizi stamp za bidhaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani...
  2. Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
  3. J

    Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
  4. H

    Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  5. B

    TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

    Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii. Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
  6. Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

    Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000. Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000. Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
  7. T

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  8. J

    Askofu Shoo: Waziri Mkuu tunaomba Serikali itupunguzie mzigo wa kodi kwenye shule na hospitali zetu, Tumeelemewa

    Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea. Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
  9. J

    Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  10. Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  11. Rais Samia Suluhu Hassan akutane na wakosoaji wote wa CCM na Serikali yake

    Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam. Kwa uungwana huo aliouonyesha kujali makundi mbalimbali na kupata mawazo, kero, ushauri ninatabiri...
  12. Jeshi laitaja Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Myanmar kuwa kundi la kigaidi

    Utawala wa kijeshi wa Myamar umelitangaza kundi pinzani la serikali ya Umoja wa kitaifa kuwa kundi la kigaidi na kulishutumu kuhusika na mashambulizi ya mabomu, uchomaji moto na mauaji. Kumekuwa na ripoti za mashambulizi ya kila siku ya mabomu huku makundi ya wanamgambo yakiundwa kukabiliana na...
  13. Sikutarajia mambo haya kuendelea chini ya Serikali ya Mamq

    Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana. Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya...
  14. S

    Serikali ilitoa maagizo ya maandishi kwa TFF maana isije kuwaruka

    Serikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa awali, ni vema mkatoa maelezo kwa umma ili msije kuwaruka TFF ingawa nao hawakuwa makini kupokea maagizo...
  15. Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  16. Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  17. Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  18. B

    Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

    Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi. Kesi...
  19. J

    Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  20. Waziri Mchengerwa: Nafungua milango ya fursa kwa Watumishi wa Umma kwenda nje ya nchi kupata mafunzo na ujuzi

    Ni rasmi sasa watumishi wa serikali wamepewa ruhusa ya kwenda safari za nje ambazo zilisitishwa na hayati Magufuli. ======== Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mchengerwa amesema kuwa anawaagiza wakuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kujipanga kwa ajili ya kutoa mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…