serikali

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaipinga kesi ya miamala ya simu

    Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga tozo za miamala ya simu lililofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) itajulikana Septemba 8 pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi wa pingamizi la Serikali. Kituo hicho kilifungua shauri hilo Julai 27 Mahakama Mahakama Kuu dhidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nategemea tozo zipunguze kiwango cha mikopo ya nje ya Serikali

    Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
  4. JamiiForums Tanzania Drama ya Dkt. Gwajima dhidi ya Pst. Gwajima ni mkakati wa CCM kunyamazisha sakata la Mbowe na katiba Mpya

    Habarini wanabodi JF! Nikionacho Mimi, Hii drama ya mtu na shemeji yake Ni mbinu ya CCM kuwapoteza CHADEMA na wafuasi wake kuhusu sakata la Mbowe na Katiba Mpya! Ikumbukwe kuwa baada tu ya kushikiliwa kwa M/kiti wa CHADEMA. Mh. Mbowe, ndoto ya sakata la Katiba Mpya ikafia hapo, nguvu zote...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  7. JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  8. JamiiForums Tanzania China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataliban

    Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban. Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Muovu punguani hufanya uovu kila mmoja akajua ni uovu

    Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini. Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona...
  13. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

    Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  16. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Serikali ukoje kuhusu kuzika wafu waliofariki kwa Covid-19?

    Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf. Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19. Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua. Nawakalishe mimi Idugunde
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  18. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Katiba Mpya: Mtazamo wa Serikali na Wananchi

  19. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha utaratibu wa kuzisajili taasisi za dini kila baada ya miaka 5 una lengo la kuwaziba midomo viongozi hao wa dini

    Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5. Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…