Israel: Serikali inayoweza kumtoa Benjamin Netanyahu madarakani kupigiwa kura Juni 13

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bunge la Israeli limesema Kura juu ya Serikali mpya ambayo inaweza kumaliza Utawala wa miaka 12 wa Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu, itapigwa Juni 13, 2021.

Kiongozi huyo aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi Nchini Israeli (miaka 12) ameuita Muungano mpya kuwa ni udanganyifu wa karne.

Ikiwa Muungano wa Mrengo wa kulia, Mrengo wa kushoto, na Vyama vya Kiarabu utashinda Kura ya Imani, uapisho utafanyika siku hiyo hiyo, na nafasi ya Netanyahu itachukuliwa na Naftali Bennett.

======

Israel’s parliament speaker has scheduled a vote for Sunday on a new government that would end Prime Minister Benjamin Netanyahu’s 12-year rule, the longest in the country’s history.

“The debate and vote on the new government will take place Sunday… during a special session of parliament,” speaker Yariv Levin, a Netanyahu ally, said in a statement on Tuesday.

If the coalition of right-wing, left-wing, centrist and Arab parties wins the vote of confidence, it will be sworn in on the same day, marking the end of Netanyahu’s run as prime minister and his replacement by nationalist Naftali Bennett.

Last Wednesday, centrist Yesh Atid party leader Yair Lapid announced that he and Bennett, a former defence minister who heads the far-right Yamina party, had formed a broad governing alliance following an inconclusive March 23 election, Israel’s fourth in two years.

Under their deal, Bennett will serve first as prime minister, followed by Lapid.

Bennett had urged Levin to hold the Knesset vote this Wednesday and called on Netanyahu to “let go” and desist from any efforts to persuade members of the new coalition to defect and scupper its inauguration.

Bitter recriminations within the Israeli right and far right prompted Israeli security services to issue a rare warning against incitement online, which Netanyahu’s opponents say was a warning to the prime minister.

Netanyahu has called the new coalition the “fraud of the century” while he has been trying to thwart the coalition by peeling off right-wing defectors uncomfortable with working with left-wing and Arab lawmakers (Palestinian citizens of Israel).

Israel held four elections in less than two years, the most recent in March.

Each time, voters were deeply polarised over whether Netanyahu should remain in office while facing allegations of corruption, for which he is now on trial.

An emergency government formed last year to address the coronavirus pandemic was mired in political infighting and collapsed in December.

Netanyahu tried and failed to form a government after the March elections before the mandate was given to Lapid.

The political transition, which could yet be derailed, comes amid heightened tensions following weeks of clashes between Palestinian protesters and Israeli police in Jerusalem.

Israel launched an 11-day military assault on Gaza that left more than 250 Palestinians dead, including 66 children.

Source: Al Jazeera
 
... kwa maadui ilio nao; maadui wenye chuki kuliko shetani; Israel haitakiwi kutokuwa na PM hata kwa sekunde moja ndio maana chaguzi zao hadi kuapishwa kwa PM wanaenda kwa mwendo wa kimondo! Hii sio ya kuiga kwa shitholes vinchi vilivyojaa frauds za kila aina.
 
Hilo kundi la ajabu nasikia limepanga kumfunga kwenye Siasa Netanyahu maana wanajua ukija uchaguzi mwingine anawadondosha chini wote so wameona wahatarishe Maslahi ya Nchi ili wamng'oe... Dhambi haitawaacha kushirikisha arabs Muslim wana wa Allah kwenye Utawala wa YAHWEH ah aisee... Inatisha wadau Wameonya yanaweza kujirudia yale ya Rabin alivyopigwa risasi na kudedishwa baada ya kuiachia GAZA kwa Arabs
 
... kwa maadui ilio nao; maadui wenye chuki kuliko shetani; Israel haitakiwi kutokuwa na PM hata kwa sekunde moja ndio maana chaguzi zao hadi kuapishwa kwa PM wanaenda kwa mwendo wa kimondo! Hii sio ya kuiga kwa shitholes vinchi vilivyojaa frauds za kila aina.
Netanyahu anashutumiwa kwa kwa rushwa na matumizi mabaya ya ofis udanganyifu sio huku kwetu tu hata huko upo
 
Back
Top Bottom