serikali

  1. T

    Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  2. Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  3. K

    Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  4. Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  5. B

    Serikali toeni takwimu kwa mujibu wa mapendekezo

    Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake. Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Hata hivyo katika yote, mawili haya yangalipo yakielea angani yakiendelea...
  6. Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  7. Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  8. Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  9. Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  10. Serikali kurejesha leseni kwa maduka ya kubadili fedha yatakayokidhi tathmini inayofanyika

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa. Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
  11. Q

    Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  12. F

    Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  13. Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  14. Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

    Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa. Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini. Bado kodi...
  15. Zanzibar: Serikali yatoa toleo la pili la Muongozo wa Huduma kwa wanaohisiwa kuwa na COVID-19

  16. Serikali ianzishe somo la ujasiriamali shuleni

    Habari za uzima wapendwa poleni na majukumu ya wiki nzima. Turudi kwenye mada yetu, hivi sasa ukiangalia kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahitimu wanaomaliza masomo yao ya elimu ya juu lakini ufinyu wa ajira umekuwa mkubwa sana na kusababisha watu wengi kuwapo mtaani bila ya kuwa na shughuli...
  17. Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  18. Mitungi ya Oxygen yawasili Bugando; tusichoke kupaza sauti kuishauri, kuipongeza na kuikosoa Serikali

    Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi hiyo katika hospitali hii na nyinginezo. Ni imani yetu Serikali imelisikia hilo na kulitatua haraka...
  19. Tunisia: Serikali yasema Virusi vya Corona ni janga

    Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya utoaji Oksijeni Taifa hilo limekuwa likirekodi idadi kubwa ya maambukizi ambapo visa 9,823 na vifo...
  20. Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

    CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia? Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…